nakula pozi na wazee wa kazi hapa dom

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 28, 2006

    Afande wametoka smart ila waambie nao wapige tizi hili vitambi vipungue si wanaona rais wetu alivyo mwembamba?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 28, 2006

    Michuzi ama kweli umeukamia uheshimiwa!Hili ni tizi kali la mabodigadi kumlinda mh!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 28, 2006

    Anza kula tizi kaka kwani kuna kausemi kanakwenda hivi "penye nia pana njia"

    ReplyDelete
  4. waheshimiwa wako smart, wakija kuchunguza kesi unakuwa na imani nao kidogo.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 28, 2006

    We Anony wa kwanza kabisa angalia hapa askari ambao hawafanyi mazoezi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...