Home
Unlabelled
mbaraka
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ahha mwenyewe mzee wa enzi zile maana hata sisi tuliozaliwa kizazi hiki mipini yake ikipigwa tunatingisha vichwa kwa utamu wa songi.sometimes huwa nawamind mading wakikitangoma....
ReplyDeletemimi mitwango ya Gogina, mimi msafiri, uzuri wa chungwa ahha inakosha kweli....
mungu azidi kuiweka oho yake mahala pema peponi
Wala sikumbuki mara ya mwisho kuona picha ya Mbaraka. Sina shaka Michuzi unajua picha hizi zinanikuna sana. Picha hizi umuhimu wake kwetu kama taifa sina maneno ya kuelezea. Mchango wa huyu bwana kwenye taifa letu kutokana na uwezo wake wa kutunga nyimbo, kupanga muziki, na kudonoa gitaa lake ni mkubwa sana. Kama ulivyosema, kwenye kupiga magitaa hana mfano. Ukimsikiliza leo unaweza kudhani kuwa kapiga gitaa hilo juzi kumbe ni miaka na miaka iliyopita. Chimbua chimbua zaidi picha kama hizi.
ReplyDeleteSafari njema.