natalia noel ambaye ni miss tz 2005 wa pili na pia miss photo point photogenic 2005 na miss redds ambassador 2005 anakaribia kumaliza si muda wa kuwa na mataji hayo tu bali hata chuo kikuu udsm

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 18 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 22, 2006

    Hongera dada maana kubeba hayo mataji na kuweza kuendelea na book siyo mchezo, maana vyote vinaitaji akili iliyotulia.
    alikuwa anafanya course gani

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 22, 2006

    ni mrembo kwelikweli

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 22, 2006

    Itabidi nirudi Tanzania hili niende chuo kikuu kabla hajamaliza shule angalau nimuone kwa karibu sana make najisikia basi tu.Hongera sana dada mimi nimekupa five.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 22, 2006

    wewe emergencypoison nimekuona kwenye picha ya warembo bagamoyo, ambayo mrembo ukaaji wako kaonyesha chupi. ukauliza hii ni chupi au sketi imejikunja kinamna? si umesema wewe ni padre, sasa mbona unaongea kama ni muislamu hapa, kama kishehe hivi, sasa vipi ndugu yangu.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 22, 2006

    Michuzi jamani hii picha usiipeleke haraka inatupunguzia stress wengine. Tunaomba ikiwezekana iruke hili tuwe tunaiona kila mara. na kama una nyingine tuwekee.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 22, 2006

    Poison kama una mke mbaya au bibi kizee piga chini haraka sana nenda bongo katafute wasichana waliokwenda shule. hacha hawa wenye stress za winter.Siyo unakaa kuangaika mara padre mara hee sijui nini, jitoe tu.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 22, 2006

    Binti mzuri kwa kweli sijui TABIA YAKE VIPI JAMANI. mtu akitaka kumsalimia anapatikana wapi?

    ReplyDelete
  8. jamani huyu dada ana sauti nzuriii, akianza kuongea unaweza ukalala maana anaongea kama vile ana bembeleza

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 22, 2006

    Huyu dada ni mzuri sana na sauti yake pamoja na tabia. Lakini wanaume waliokwisha kuwa naye wanacomplain sana when it comes to.....Wanadai ni borring sana!
    Lakini huwezi ukapata vyote dunia hii.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 23, 2006

    wabongo siye hatuto maoni hadi tuhakikishe tumezungumzia mambo ya under the sheet sasa tumesha anza kumekuwa bint wa watu jamanii

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 23, 2006

    Jamani huyu binti ni mchaga? mhaya, mndengereko? au. maana mimi nina mpango wa kurudi bongo na kuoa lakini wazazi wanahitaji kabila langu. Nimeangalia jina halina data hizo. Aliye na info tafadhali nitonyeni.Make mwenzenu naona napitwa sana huku.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 23, 2006

    Michuzi tafadhali, tupe data za huyu dada, maana mie naona nina rival tayari kwani namie nataka kuoa na natafuta kimwana mwenye sifa nzuri kama za huyu hakuna sifa yeyote chafu, KAMA ZA FAMILIA YA WABINTI WA KINA SINARE, INGAWA WANAJITAHIDI KUTIWA KINYEMELA LAKINI SIFA ZAO ZINAJULIKANA. Ila huyu kimwana kapata sifa nzuri kama vimwana wengine walopewa sifa nzuri tangu bulogu yako imeanza. Lazima nioe kimwana kama huyu. Ila naomba C.V yake yote je alishawahi kuolewa? Je ameshazaa? Sijali sana maoni ya Anony mmoja hapa juu alosema kuwa wanaume ambao wameshatoka nae wanamsifu kwa uzuri ila kwa....kitandani yuko BORING mie sijai hii, kwani nitamfundisha mambo yanakuwaje na tutaridhishana tu. Nimeridhika na uzuri wake kwa sasa.

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 24, 2006

    We Bantu huna dili, enendelea kupiga buli....waoaji hawatangazi fala wewe.

    ReplyDelete
  14. AnonymousJuly 24, 2006

    Nyie mnaosema mnataka kuja kuoa mnaishi dunia gani?Yaani mnafikiri basi mkishuka na vidollar vyenu watoto watakubali tu kuolewa....hata mabinti wa siku hizi waliosoma wanamalengo yano sio kwamba tu wanataka mwanaume wa kuona hebu mtoa credits kwa watu na msiwashushe kiasi hicho..na mkae mkijua hata watoto wa bongo siku hizi wanajua makaratasi so sio kuingia mkeke tu ooh! nataka kuoa huyo/yule ...

    ReplyDelete
  15. AnonymousJuly 24, 2006

    bantu unataka kuoa na vijisenti vyako unavyopata baada ya kubeba mabox kuosha vyobo na kufagia barabara? hawa watoto wameenda shule na watafanya kazi za ofisini ukija huku utaishia kuwaona tu halafu nimegundua kwamba wewe ni demu na unatiwa kunyemela na mbwa wa yule jirani yako mzungu

    ReplyDelete
  16. AnonymousJuly 25, 2006

    Hivo vidola vyao vinaweza kununua kitu chochote angalau kwa muda mfupi. Hao mabinti si mnasema kwamba wengi wao wanapenda feza? ndio maaana wanachukuliwa na watoto wa wakubwa hapa mjini. sasa kama jamaa wakishuka na dola kwanini wasiwaoe. Kwanza mara nyingi wadada wa hapa bongo wanapaparika sana na watu wa ughaibuni kuna chati moja ya kibongo huko ukimwambia mdada uko ughaibuni tu anajirahisi kama nini kwa hiyo ukishuka bongo na vidola vya uongo na kweli utawapata tu hao wadada.

    Dislaimer:
    Jamani musiwapapatikie hao watoto, vyoote ving'aavyo sio dhahabu wala alumasi.
    Na nyie wakaka mlio ughaibuni msijioni nyie ni baaabu kubwa eti mkifika bongo mtapapatikiwa, mtaingizwa mjini na vidola viende bila hamjampata mtu

    ReplyDelete
  17. AnonymousJuly 25, 2006

    Jeffar, naona I hit the nerve kama wewe ndio unatia hapa sasa sema bwana ili tujue haiwezekana kutaka kuoa, hapa. Dili mimi ndio mwenyewe. Na unatoka kwenye trash ya wapi wewe? wanaotaka kuoa wanasema na kutangaza popote. na hapa kuna kijana mwingine pia amesema Michuzi asaidie data za huyu dada maana anatafuta mchumba wa kuona. Mbona umeamua kuingilia maoni yangu tu. Shenzi wewe. watu kama nyie ndio hamtakiwi kwenye hii blog. Ingia useme cha maana. sio nyanya tupu.

    ReplyDelete
  18. AnonymousJuly 26, 2006

    huyu binti ananikumbusha zile statues za wale malkia wa ancient egypt, kina Nefertiti na Cleopatra, ni kama vile ujio wao mwengine(reincarnation) bongo oyeeeeeeeeeeeeee!!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...