
"I will speak his language soon," Thabeet promises.
Most read Swahili blog on earth
"I will speak his language soon," Thabeet promises.
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
duh bwana mdogo unaweza kiswahili na french,mhamiaji nini? na urefu huo mko droo na kagame babu.good luck
ReplyDeleteThe next SHAQ soon, work hard Kiddo. If you need a manager holla @ Jeffar@yahoo.com ....ATL finest.
ReplyDeletejamani kama mtakuwa mmnataka kutoa maoni pleaze andkeni vitu vya maaana, hii ni kwa ajili ya kumshauri na sio kumponda ni tahadhari tu na wala haambiwi mtu yeyote!
ReplyDeletenajua michuzi hii message ni kwa ajili yangu kwa sababu siioni post niliyotuma jana. Lakini mbona maoni niliyoweka ni ya maana sana, kama unafuatilia vizuri visa wanavyopata watu weusi waliofanikiwa marekani, hasa kwenye michezo. Naomba uruhusu maoni yangu yapite ili watu wengine wayaone. Uhuru wa kuongea huu sheikh!
ReplyDeleteKaza uzi dogo kwani hayo ndio maisha yako na hamna atakaye yafanya yatimie isipokuwa wewe mwenyewe wengine wote wapo kwa ajili ya kukusupport na sivinginevyo, ila kuwa makini tu na vishawishi maana ulimwengu wa sasa usipokuwa na straight head, nothing can be done. leave with the purpose not just because it just happen.
ReplyDeleteAm happy for you n wish you all the best the sky is the limit.
believe in your self n u gonna make it....
these are the true ambassadors..yaani hapo hata Shaq, Mutombo anapigwa tawi..,hongera swahiba,,tulikuwa tukipiga kikapu pamoja pale udasa.,dah
ReplyDeletehodi hodi NBA
udasa labda kama mlikuwa mnachezea bembea wakati unamsubiri babayako amalize kulewa..hamna mahali pa kupigia kikapu..joji kumbuka vyema
ReplyDeleteudasa/udism/mlimani popote;;alikuwepo
ReplyDelete