nakula tizi la kuwa mh. awamu ijayo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 25, 2006

    Michuzi hilo jua la hapo na hizo nguo za kiuheshimiwa pole sana. Na kama waheshimiwa wetu huko bongo hawauoni ukweli mdogo kama huo, basi wanatakiwa wapimwe akili. Kwame Nkrumah alitaka tuvae Mgolole, siyo kwa sababu alitaka kupingana na wazungu, ni kwa sababu mgolole ndo nguo zinazoendana na mazingira yetu. Pole na joto.

    ReplyDelete
  2. We anony 9:42;46 hapo juu huku bongo sasa hivi ni baridi na maeneo kama Dodoma ndio usiseme kwahiyo mbunge (Michuzi) kuvaa koti ni sawa kabisa au ulitaka avae koti kama lile la babu yako kijijini

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 25, 2006

    michuzi makoti ya mitumba yanakutoaa, mshukuru sana Mwinyi kwa kuruhusu mitumba iingie bongo laasivyo sa hizi sijui ungekuwa na suti ya chun lai au ungeshona suti ya kitenge cha urafiki

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 26, 2006

    umetoka bomba mzee, mimi nakuhaidi kuwa campaign manager wako, tuwasiliane ikifika time. au unataka tuanze mapema maana...

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 26, 2006

    ungekua mweupe,hayo majungu yasingekuwepo.maana hata kama suti ni ya cavalli au dolce&gabbana wangesema tu.
    umependeza bro.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 26, 2006

    jengo la bunge kwa mbele ukiangalia unaweza kudhani sinagogi

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 26, 2006

    mheshimiwa mbunge mtarajiwa muhidin issa michuzi, umependeza sana. sasa mbona picha ya mh. james lembeli hukuweka?

    ReplyDelete
  8. mzozaji, nashukuru kwa ofa. ila zaidi ya buku shin'gtano sichukui. labda bure

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 26, 2006

    Michuzi usikate tamaa babu kwani hata Musti(Mustafa Nyanganyi) si alikuwa paparazi kama wewe, yupo wapi siku hizi? ulaji unakuja huo babu, tutakupa fulu sapoti, usitubadilikie tu na wewe punde ukikamata ulaji!!
    halafu hizo pozi tayari zishakaa ki ulaji ulaji tu, tehe tehe teheee!!!

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 26, 2006

    Michuzi pamoja na triokaka tunawafagilia ila mkifika huko msibadilike muwe miiba na msimame kidete kutetea walalahoi na sio kuwa rubberstamp[mihuri] ya kupitisha bajeti na hoja mbofumbofu za ccm kama tulivyoona juzi kwenye bunge!Mkiwa walaji tena basi wanablog tutakata tamaa!Nasikia kuna uwezekano uchaguzi ujao tulio ughaibuni tukaruhusiwa kupiga kura angalao ubalozini kwa watakao kuwa karibu!

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 26, 2006

    Michuzi kuvaa sports coat na tie
    sio maandalizi ya kuwa Mbunge!
    Unahitaji kuwa na lengo, na nia ya
    kuwa Mbunge.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 26, 2006

    Anony wa Jul 26, 6:32pm, hiyo siyo sports coat. Hiyo ni blazer ya vifungo viwili na ni halali kabisa kuvaa na tai. Wabunge wengi wa UK ndiyo vaaji yao hiyo (Blazer, tie na pants.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...