twin tawa za benki kuu yetu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 16, 2006

    Waaah what a building, thanks michuzi for updating our memories, i miss home man

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 16, 2006

    Wanablog wenzangu, hivi nasikia kulizuka bonge la mgogoro kuhusu ujenzi wa hii twin tower, nliskia kama kulikuwa na mambo ya pasenti pasenti vile????? hebu nihabarisheni..

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 16, 2006

    Mashallah, bongo kunapendeza sasa sio siri!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 16, 2006

    Anony wa hapo juu kwa tz hakuna kitu kinachoweza kufanyika bila 10 percent hasa wakati wa utawala wa benny. wewe huoni watu wanaendesha range bongo wewe unadhanisinatoka wapi? wewe mind maisha yako tu ukiangalia sana hayo ya ten percent yanauma sana unaweza kuwa kichaa bure.watu sio kuwa wanakula ila ni kufuru tupu. wewe fikiria issue ya ubalozi wa rome, issue ya mkurugenzi wa wanyama pori lakini serikali imekaa kimya kwa vile waligawana au? wee omba tu mungu akupe mkate wa siku ndugu mambo ya tz yanauzi kweli.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 17, 2006

    Watu hapa ndio walijengea zile nyumba ambazo hata wazungu/wafadhili wakifika bongo wanauliza kama kweli ni majumba ya watu binafsi au ni mashirika au ni serikali. Kumbe ni ujenzi wa sirikali.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 17, 2006

    Jengo babu kubwa! Lakini beach ushuzi!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 18, 2006

    lakini majengo yanapendezesha Jiji.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 18, 2006

    Trio kaka ninaongelea hiyo BEACH inayoonekana hapo......

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 19, 2006

    Duh hayo majengo ni bab kubwa, wacha waendelee kuporomosha jiji lipendeze na wawekezaji kutoka nje wafanye kazi kwenye majengo ya kisasa.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 19, 2006

    Hayo majengo ni kwa ajili ya staff tu wa BoT kujimwaga. Tofauti na ilivyo sasa ambapo wametawanyika kwenye majengo anuai ya Jijini Dar.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 20, 2006

    guys good working environment is among the things can be used as incentive, to motivate effective and effecient perfomance of employees.
    So i believe BOT sees this...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...