Home
Unlabelled
twin tawa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Waaah what a building, thanks michuzi for updating our memories, i miss home man
ReplyDeleteWanablog wenzangu, hivi nasikia kulizuka bonge la mgogoro kuhusu ujenzi wa hii twin tower, nliskia kama kulikuwa na mambo ya pasenti pasenti vile????? hebu nihabarisheni..
ReplyDeleteMashallah, bongo kunapendeza sasa sio siri!
ReplyDeleteAnony wa hapo juu kwa tz hakuna kitu kinachoweza kufanyika bila 10 percent hasa wakati wa utawala wa benny. wewe huoni watu wanaendesha range bongo wewe unadhanisinatoka wapi? wewe mind maisha yako tu ukiangalia sana hayo ya ten percent yanauma sana unaweza kuwa kichaa bure.watu sio kuwa wanakula ila ni kufuru tupu. wewe fikiria issue ya ubalozi wa rome, issue ya mkurugenzi wa wanyama pori lakini serikali imekaa kimya kwa vile waligawana au? wee omba tu mungu akupe mkate wa siku ndugu mambo ya tz yanauzi kweli.
ReplyDeleteWatu hapa ndio walijengea zile nyumba ambazo hata wazungu/wafadhili wakifika bongo wanauliza kama kweli ni majumba ya watu binafsi au ni mashirika au ni serikali. Kumbe ni ujenzi wa sirikali.
ReplyDeleteJengo babu kubwa! Lakini beach ushuzi!
ReplyDeletelakini majengo yanapendezesha Jiji.
ReplyDeleteTrio kaka ninaongelea hiyo BEACH inayoonekana hapo......
ReplyDeleteDuh hayo majengo ni bab kubwa, wacha waendelee kuporomosha jiji lipendeze na wawekezaji kutoka nje wafanye kazi kwenye majengo ya kisasa.
ReplyDeleteHayo majengo ni kwa ajili ya staff tu wa BoT kujimwaga. Tofauti na ilivyo sasa ambapo wametawanyika kwenye majengo anuai ya Jijini Dar.
ReplyDeleteguys good working environment is among the things can be used as incentive, to motivate effective and effecient perfomance of employees.
ReplyDeleteSo i believe BOT sees this...