kuna mshkaji kanifowadia hii kitu leo. je twaweza waita watu hawa primitivu ama?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 28, 2006

    hao waswazi hio mila imewakolea sana,wanampenda sana huyo king Mswati,huwaelezi kitu hata kama mwanake msomi vipi undhalilishaji huo hawauoni,na wako ready kwenda hapo kuparade ili wapate kuwa atleast mke wa 30 wa king,na humtunzia bikira eti,loo!jamani,i will parade on my dead body!!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 28, 2006

    Hii ina tofauti gani na U-Miss ambao unafanyika TZ na kwingineko? Angalia hivi: ma-binti wazuri na poa, wanajipitisha mbele ya vigogo na wajanja, halafu wajanja wanalipua wanaoona wanafaa.

    Same thing, different environments.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 28, 2006

    mswati ndie anadinda peke yake swaz au??du watazamaji na wapiga picha kama ni wanaumme basi kazi ipo yakhe..akipelekwa michuzi kupiga picha hatotuletea picha hata moja..atakumbuka kupiga picha walishapita wote...haaha..mkono mmoja umeshikilia suruali..au uongo michuzi???

    ReplyDelete
  4. Ingekuwa bomba kweli kama haya mambo yangefanyika bongo pia!

    ReplyDelete
  5. Huu utamaduni umetulia ila ungeboresha mpaka sisi tunaotafuta wake wa kuoa tungeruhusiwa kwenda kuchagua japo mmoja tu, lakini mimi nina shaka hivi hawa wote bikra au ndio zile bikra za kutengeneza kama za Tanga? maana ukienda kule kunani kwa Wagosi kila demu anayeolewa ana bikra, hata demu wako unaye m#*&mba kila siku, akiolewa ukienda kwenye harusi yake wakiingia ndani baada ya dakika kadhaa inatolewa shuka yenye damu, vigelegele demu kaolewa na bikra yake

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 30, 2006

    TZ tunajivunia utamaduni wa Wamasai na Wamang'ati na Wahabezi. Napenda sana makabila hayo, yanatunza mila hata wakivaa nguo za viwandani watavaa kwa mitindo yao ya asili, wengine sijui mavazi yetu ya asili yalikuwa yepi, mfano sisi Wakwele pale Mdaula!

    ReplyDelete
  7. hii siyo wala nini binti mwenyewe anaechaguliwa mmoja tu na wanaojianika hapo wako kama kumi hivi au zaidi kama sio udhalilishaji wa kijinsia sijui itakuwa nini sasa

    ReplyDelete
  8. Kalumekenge hujatulia wewe.

    ReplyDelete
  9. Jamani nakumbuka nilibahatika kwenda SWAZILAND na iliiona hiyo ngoma toka maandalizi yake, vibinti walikuwa wanaoga barabarani kabisa kama walivyozaliwa!!!!! halafu wakavaa vinguo vyao vya nusu uchi kabisaaa!! hata wakicheza ngoma yao wenyewe wanaiita riidi dansi vinguo vinapanda juuuuu!!! hata binti wa MSWATI naye alivaa hivyo hivyo yaani nyie acheni tu. ninayo CD nzima ya ngoma hiyo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...