hivi sasa dom ni baridim kiasi, yakaribia nyuzi kati ya 16-24 mchana na jioni inashuka maradufu. hakika hii ni ahueni kwa akina sie ambao mitumba yetu hatuivai hadi siku ya mnuso wa maana, ama ukilopu katripi juu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 28, 2006

    Babaa hiyo tai 2 niambie umeinunua wapi maana imekuwasha kichizi, mimi unania hapo tu unavyojua kuvituliza ukiamua. mwendo mzuri baba.
    suti imetulia....

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 28, 2006

    yaani wewe kweli ni mheshiwa mtarajiwa michuzi.una kapesonality fulani hivi magufuli si magulifi,makamba si makamba ,we acha tu.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 28, 2006

    michuzi mzee unambwembwe...alafu unajua mapozi mzee..inaelekea michuzi pozi ulizianza zamani..tangu enzi za kupiga picha umeshika moyo au umeshika kiua..natania michuzi..umetoka pina babake..big up!!wakati wa harusi yangu nitakuja kuazima suti yako..nimeona harusi nyingi za kibongo watu hawavai suti nzuri za kuwakaa kama wewe ulivyotoka michuzi..

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 29, 2006

    Hivi Michuzi umeoa?

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 29, 2006

    ahhhhaa,michuzi unaonekana handsome boy,nipe no yako basi!

    ReplyDelete
  6. asanteni wote. marita statas yangu kwa sasa ni siri. ila namba ni +255 22 211595 (ttcl, ya job, hahaha!)

    ReplyDelete
  7. Ahhhhhhhhhhhh Michuzi mbona nimepiga ikapokelewa nikaambiwa niya mochuari au nilikosea kupiga (LOL)

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 29, 2006

    Ai Michuzi jamani unatubania eeh,no mbona haipatikani jamani!!

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 29, 2006

    mimi nampa hongera my wife wako maana bila yeye kuchangia vitu haviwezi kutulia nama hii.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 30, 2006

    Michuzi hiyo 16-24 ni summer time yetu huku ndio tunavua nguo na kwenda beach! ha ha ha! Winter ni -5hadi -10 freezing point! Hiyo siyo winter bwana, ni uvuguvugu unatokea Southern ndio unawapatapata huko bongo.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 31, 2006

    MIchuzi umependeza sana na hiyo suti napenda personality yako well done to your wife LOL.

    Hapo juu kwa Dodoma nyuzi 16-24 wao ni baridi haswa tena usiombee ya dodoma unabauka kishenzi sweta utalitafuta huku majuu climate ni tofauti muache michuzi avae suti ni muhimu kwa Dom trust me!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...