Home
Unlabelled
zenji
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
JESUS CHRIST! THAT'T TOO SHAME! ANGALIENI HUU NI MFANO MZURI SANA WA "MATOKEO YA WAARABU"! NA BADO TU WANAJIFUNIKA WANADAI SISI NI WAARABU! SASA HIYO VIEW SI KAMA YA SOMALY TU JAMANI? HALAFU BADO WATU MNANG`ANG`ANIA USWAHILI! SHAME!
ReplyDeleteAcha kushoboka wewe, JESUS CHRIST unamjua wewe? nyie ndio washamba washamba mnaojifanya kujua english kuliko wengine
ReplyDeletemtu kasema kweli imekua lushoboka tena?kwani mi naona ni kweli,waarabu unaona waliacha nini hapo?majamvi!?
ReplyDeleteYaani Zenji kumbe ndio hakuna planning kiasi hiki it's a shame kwa kweli. Yaani ni mambo ya aibu they need to do something about it.
ReplyDeleteOyaaa nadumisha utamaduni Mabati...noo plan...mambo fulani ya makuti...amii lazima tukae karibu karibu...nyie kweli mnaonekana hamjaenda zenji sikunyingi...Michuziiiiiiii...waoneshe vitu vya kweli!!Halafu nyie...mnaong'ang'ania nchi za watu rudini mjenge shuwaaaaaaaaaiiin...tunawahitaji!!Shuuu i forgot I am one of them...Tanzania nakuja!!!
ReplyDeletehivi waswahili mbona huwa hamkubali ukweli?hayo ndo matokeo ya ubishi wenu,mtu kakuambieni ukweli ,kosa kasema "jesus christ"kwa nini msione tofauti na kukubali?hapo si unaona ni kweli bora somalia!
ReplyDeleteHayo majengo marefu ya michenzani mnayoyaona hapo yalijengwa baada ya mapinduzi na nyumba za mitaa inayoizunguka hiyo michezani zilijengwa kati ya miaka ya mwishoni mwa 60s na mwanzoni mwa 70s.Wakati wa utawala wa waarabu zenji ,hayo maeneo yalikuwa na vijumba vya makuti tu! nyumba za kueleweka zilikuwepo stone town(mji mkongwe) tu, so they have nothing to do with Arabs! mpo hapo wapika majungu msiojua mambo?.Zanzibar watu hawajiiti waarabu wala nini isipokuwa ni zile mila na ukarimu wa kiarabu unaofuata maadili ya kiislam ndo zimebaki zanzibar, na hilo si kosa ni kitu ambacho walikirithi kutoka na kujikuta umezaliwa na kukuta wazee wako wanapractice na wewe offspring unafuata nyayo za wazee, na haiwezekani mtu wa zanzibar kufuata mila za kingoni, kihaya, kinyamwezi n.k wakati hata hujawahi kuwaona hao(mtu hufuata kile kilicho mbele ya macho yake na sio vile alivyokuwa hajawahi kuviona).Waarabu waliacha pesa nyingi tu hapo ila hazikujulikana zilipoishia baada ya kuuwawa mzee karume, na nyenginezo ni zile zilizoanzisha mtambo wa televisheni wa tvz na kujenga hayo majumba ya michenzani nk. kabla ya mzee kuuwawa.Michuzi hebu piga picha za kweli uje uwaonyeshe!pumbavu hawa hawana wanachokijua zaidi ya kwenda kuongeza idadi ya ombaomba na wahalifu huko ughaibuni baada ya kukaa na kuijenga taifa lao!
ReplyDeleteWe Simba sijui mimba utajua mwenyewe! What a differents does that make? nijiblock, nijiite jina la kweli, nijipachike,.....halllooooh! Kuna KITANGOMA nenda kule hakuna anony kama unakerekwa! Kwa experiences zangu, anony ndio wana point kuliko nyie! Bloody chupi!
ReplyDeleteWee anony shuwaaaaaaaaiiin apo juu...sura kama...ndio maana huna hatakimoja unachokisema sawa...english mkorogo...ovyoooooooo...unalo!!Utadjidju...vitu vinavyosemwa vya ukweli...
ReplyDeleteAnony wa 4.04.22pm nashukuru kwa kutufunza, vile vile poisson naona umezaliwa upya keep it up. Make naona umesoma sasa pamoja na kwamba kuna vitu vidogo tu vinakusumbua. Hila english inapanda kweli kweli.
ReplyDeleteushuzi, Ushuzi, Ushuzi, Ushuuuuuuzi mtupu! Unawatoka midomoni! Mimi binafsi ni Mz'bar na hiyo commet ya kwanza na ya pili ndio kweli tupuuu! Binadamu wa leo haikupashwa aishi hivyo ati!
ReplyDeleteThat's 14centuries! Je mnafikiri wakazi wa hapo hawataki kuishi kama wengine? Twataka ila uwezo tu! Yote hiyo ni Serikali! Kwani majengo mengi huku niyale yale toka ya mkoloni ati! Sio kama huko mikopo ilipitishwa badala ya uhuru kwa ajili wa ujenzi wa watu wasojiweza.
Na elimu yetu ni duni, sio kama Bara! Alfabet hujifunza late.
Sasa kwa nini inakuwa tusiseme kweli yenyewe?
Sisi tunaanza kusoma zote pamoja, alphabet na alif bee tee.
ReplyDeleteZanzibar wao wanaanza kujifunza alif bee tee kwanza na baadae sana ndo wanajifunza alphabet. Haishangazi kuona hawa wenzetu wa visiwani hawajui kusoma kama waingereza vile.
We anony wa juu wacha hizo bwana! mimi niko UK sema ukweli kwa watu bwana! "Wainereza hawajui kusoma kama wazanzibar".....halooooh!
ReplyDeleteSorry "waingereza"
ReplyDeleteYaani huyo mtu wa kwanza mlivyomshambulia bila sababu yeyote! Ama kweli humu kuna mambo!
ReplyDeleteOkay basi wacha sisi wengine tuseme uongo: WAOW! HII CITY NI NZURI SAAAANA! INAVUTIA SANAAAA!
Nini kingine? INAONEKANA WAKAZI WANAMAENDELEO MAZURI SANA! LAZIMA MICHUZI UWAONYESHE HUMAN RIGHT ILI TUWIN PRICE NA SISI JAMANI!
Naogopa mimi kusema utumbo hapa ingawa unaonekana wazi!
sasa mazee mnabishana kwa kusoma na kutojua kusoma. what does it supposed to have something to do with mji mchafu wa zanzibar.
ReplyDeletereally kabla nyenyere hajaona choyo na kudhihirisha chuki zake zidi ya zanzibar, nchi yetu ilikuwa safi na kivutio kikubwa. look at the old pics of zanzibar. it is 100 times better than now what we have....
akafanya kila njia akaitia mikononi .... akamuulisha karume..... and more and more...akanyima watu elimu....hiyo ndio tulobakiwa nayo hivi sasa ni kweli shame on him