michenzani, zenj

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 18, 2006

    JESUS CHRIST! THAT'T TOO SHAME! ANGALIENI HUU NI MFANO MZURI SANA WA "MATOKEO YA WAARABU"! NA BADO TU WANAJIFUNIKA WANADAI SISI NI WAARABU! SASA HIYO VIEW SI KAMA YA SOMALY TU JAMANI? HALAFU BADO WATU MNANG`ANG`ANIA USWAHILI! SHAME!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 18, 2006

    Acha kushoboka wewe, JESUS CHRIST unamjua wewe? nyie ndio washamba washamba mnaojifanya kujua english kuliko wengine

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 18, 2006

    mtu kasema kweli imekua lushoboka tena?kwani mi naona ni kweli,waarabu unaona waliacha nini hapo?majamvi!?

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 18, 2006

    Yaani Zenji kumbe ndio hakuna planning kiasi hiki it's a shame kwa kweli. Yaani ni mambo ya aibu they need to do something about it.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 19, 2006

    Oyaaa nadumisha utamaduni Mabati...noo plan...mambo fulani ya makuti...amii lazima tukae karibu karibu...nyie kweli mnaonekana hamjaenda zenji sikunyingi...Michuziiiiiiii...waoneshe vitu vya kweli!!Halafu nyie...mnaong'ang'ania nchi za watu rudini mjenge shuwaaaaaaaaaiiin...tunawahitaji!!Shuuu i forgot I am one of them...Tanzania nakuja!!!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 19, 2006

    hivi waswahili mbona huwa hamkubali ukweli?hayo ndo matokeo ya ubishi wenu,mtu kakuambieni ukweli ,kosa kasema "jesus christ"kwa nini msione tofauti na kukubali?hapo si unaona ni kweli bora somalia!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 19, 2006

    Hayo majengo marefu ya michenzani mnayoyaona hapo yalijengwa baada ya mapinduzi na nyumba za mitaa inayoizunguka hiyo michezani zilijengwa kati ya miaka ya mwishoni mwa 60s na mwanzoni mwa 70s.Wakati wa utawala wa waarabu zenji ,hayo maeneo yalikuwa na vijumba vya makuti tu! nyumba za kueleweka zilikuwepo stone town(mji mkongwe) tu, so they have nothing to do with Arabs! mpo hapo wapika majungu msiojua mambo?.Zanzibar watu hawajiiti waarabu wala nini isipokuwa ni zile mila na ukarimu wa kiarabu unaofuata maadili ya kiislam ndo zimebaki zanzibar, na hilo si kosa ni kitu ambacho walikirithi kutoka na kujikuta umezaliwa na kukuta wazee wako wanapractice na wewe offspring unafuata nyayo za wazee, na haiwezekani mtu wa zanzibar kufuata mila za kingoni, kihaya, kinyamwezi n.k wakati hata hujawahi kuwaona hao(mtu hufuata kile kilicho mbele ya macho yake na sio vile alivyokuwa hajawahi kuviona).Waarabu waliacha pesa nyingi tu hapo ila hazikujulikana zilipoishia baada ya kuuwawa mzee karume, na nyenginezo ni zile zilizoanzisha mtambo wa televisheni wa tvz na kujenga hayo majumba ya michenzani nk. kabla ya mzee kuuwawa.Michuzi hebu piga picha za kweli uje uwaonyeshe!pumbavu hawa hawana wanachokijua zaidi ya kwenda kuongeza idadi ya ombaomba na wahalifu huko ughaibuni baada ya kukaa na kuijenga taifa lao!

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 19, 2006

    We Simba sijui mimba utajua mwenyewe! What a differents does that make? nijiblock, nijiite jina la kweli, nijipachike,.....halllooooh! Kuna KITANGOMA nenda kule hakuna anony kama unakerekwa! Kwa experiences zangu, anony ndio wana point kuliko nyie! Bloody chupi!

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 20, 2006

    Wee anony shuwaaaaaaaaiiin apo juu...sura kama...ndio maana huna hatakimoja unachokisema sawa...english mkorogo...ovyoooooooo...unalo!!Utadjidju...vitu vinavyosemwa vya ukweli...

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 20, 2006

    Anony wa 4.04.22pm nashukuru kwa kutufunza, vile vile poisson naona umezaliwa upya keep it up. Make naona umesoma sasa pamoja na kwamba kuna vitu vidogo tu vinakusumbua. Hila english inapanda kweli kweli.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 21, 2006

    ushuzi, Ushuzi, Ushuzi, Ushuuuuuuzi mtupu! Unawatoka midomoni! Mimi binafsi ni Mz'bar na hiyo commet ya kwanza na ya pili ndio kweli tupuuu! Binadamu wa leo haikupashwa aishi hivyo ati!
    That's 14centuries! Je mnafikiri wakazi wa hapo hawataki kuishi kama wengine? Twataka ila uwezo tu! Yote hiyo ni Serikali! Kwani majengo mengi huku niyale yale toka ya mkoloni ati! Sio kama huko mikopo ilipitishwa badala ya uhuru kwa ajili wa ujenzi wa watu wasojiweza.
    Na elimu yetu ni duni, sio kama Bara! Alfabet hujifunza late.
    Sasa kwa nini inakuwa tusiseme kweli yenyewe?

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 21, 2006

    Sisi tunaanza kusoma zote pamoja, alphabet na alif bee tee.
    Zanzibar wao wanaanza kujifunza alif bee tee kwanza na baadae sana ndo wanajifunza alphabet. Haishangazi kuona hawa wenzetu wa visiwani hawajui kusoma kama waingereza vile.

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 21, 2006

    We anony wa juu wacha hizo bwana! mimi niko UK sema ukweli kwa watu bwana! "Wainereza hawajui kusoma kama wazanzibar".....halooooh!

    ReplyDelete
  14. AnonymousJuly 21, 2006

    Sorry "waingereza"

    ReplyDelete
  15. AnonymousJuly 21, 2006

    Yaani huyo mtu wa kwanza mlivyomshambulia bila sababu yeyote! Ama kweli humu kuna mambo!
    Okay basi wacha sisi wengine tuseme uongo: WAOW! HII CITY NI NZURI SAAAANA! INAVUTIA SANAAAA!
    Nini kingine? INAONEKANA WAKAZI WANAMAENDELEO MAZURI SANA! LAZIMA MICHUZI UWAONYESHE HUMAN RIGHT ILI TUWIN PRICE NA SISI JAMANI!
    Naogopa mimi kusema utumbo hapa ingawa unaonekana wazi!

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 01, 2008

    sasa mazee mnabishana kwa kusoma na kutojua kusoma. what does it supposed to have something to do with mji mchafu wa zanzibar.
    really kabla nyenyere hajaona choyo na kudhihirisha chuki zake zidi ya zanzibar, nchi yetu ilikuwa safi na kivutio kikubwa. look at the old pics of zanzibar. it is 100 times better than now what we have....
    akafanya kila njia akaitia mikononi .... akamuulisha karume..... and more and more...akanyima watu elimu....hiyo ndio tulobakiwa nayo hivi sasa ni kweli shame on him

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...