niko zenj kwenye tamasha la filamu la nchi za majahazi maarufu kama zanzibar international film festival (ziff) hapa nipo na dj yusuf wa sauti za busara ambaye tayari ameshakamilisha maandalizi ya tamasha la sauti za busara mwezi februari mwakani.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 15, 2006

    Michuzi mbona sikuhizi unachukua sana muda kuweka picha???au deleniuzi wanakubana mno

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 15, 2006

    michuzi nikikuangalia kwenye hiyo picha kicheko ulichotoa hakina afya kabisa kuna tatizo lolote? unanihuzunisha sana naoanisha hii hali na kutotoa picha kwa muda mrefu kuna lolote laendelea wapenzi wako hatulijui? tunakusikiliza mkuuu au wabaya wamezidi wema?

    ReplyDelete
  3. Pole sana Michuzi inaonekana tamasha la ZIFF lilikubana sana ndio maana ukawa kimya kidogo, sasa tumwagie vitu vikiwamo vya Zanzi BAR na watu wa majahazi, nasikia watunzi wetu wa Filamu walio wachanga wameshindwa kuingiza Filamu zao kwenye hili tamasha kutakana na kukosa ubora na mfundisho kwa jamii je ni kweli

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...