mmoja wa waasisi wa bongo flava balozi dola sol (nyekundu) yupo bongo akitokea nyu yok na hakika tumempokea mikono miwili likizo yake hii ambayo kaja na mai waifu wake ambaye ndiye katupiga picha hii jana naiti

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Kaka Michuzi,
    Tafadhali mwambie Balozi Dola Sol arudi kwenye Chati Basi.
    Maana tangu atoe kile kibao chake "Balozi bado niko kwenye chati", sijasikie tena akitoa kibao kikali.

    ReplyDelete
  2. Mambo anayoyafanya Balozi Dola hakika ni ya kuigwa kewa wasanii wa Bongo.

    Keep it Up!

    ReplyDelete
  3. Hana lolote huyo anaosha vyoo tu vya wazungu huko new york

    ReplyDelete
  4. Pamoja na kuosha choo jamani kaiva,mnamkumbuka alivyokuwa lakini au mlikuwa mnamsikia redioni tu

    ReplyDelete
  5. Jamani Balozi yuko shuleni chuo kikuu New York University na wala haoshi vyoo wala vyombo acha majungu na jealous zako za kike, ana piga kazi pia nzuri sana kwenye fani yake nyingine ya kompyuta. Balozi ni hodari sana shule pia anapasuwa sana kwa tarifa yako.

    Soma habari zaidi kwenye mtandao wewe fala ambayo hu elewi mchango wa Balozi. Bila yeye, Deplowmatz na SUGU vijana wengi leo wasinge sikika kwenye bongo flava
    www.myspace.com/balozidola
    www.kwetuentertainment.com

    Hivi sasa ana rekodi album yake New York.

    Kama bado huja kubali zama ndani ya mtandao wa www.google.com alafu andika 'Balozi Dola' utajionea mwenyewe habari zake kubwa babu sio kama namfagilia ni ukweli ambayo labda hutaki tu.

    Big UP Balozi piga bao baba!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...