Home
Unlabelled
balozi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kaka Michuzi,
ReplyDeleteTafadhali mwambie Balozi Dola Sol arudi kwenye Chati Basi.
Maana tangu atoe kile kibao chake "Balozi bado niko kwenye chati", sijasikie tena akitoa kibao kikali.
Mambo anayoyafanya Balozi Dola hakika ni ya kuigwa kewa wasanii wa Bongo.
ReplyDeleteKeep it Up!
Hana lolote huyo anaosha vyoo tu vya wazungu huko new york
ReplyDeletePamoja na kuosha choo jamani kaiva,mnamkumbuka alivyokuwa lakini au mlikuwa mnamsikia redioni tu
ReplyDeleteJamani Balozi yuko shuleni chuo kikuu New York University na wala haoshi vyoo wala vyombo acha majungu na jealous zako za kike, ana piga kazi pia nzuri sana kwenye fani yake nyingine ya kompyuta. Balozi ni hodari sana shule pia anapasuwa sana kwa tarifa yako.
ReplyDeleteSoma habari zaidi kwenye mtandao wewe fala ambayo hu elewi mchango wa Balozi. Bila yeye, Deplowmatz na SUGU vijana wengi leo wasinge sikika kwenye bongo flava
www.myspace.com/balozidola
www.kwetuentertainment.com
Hivi sasa ana rekodi album yake New York.
Kama bado huja kubali zama ndani ya mtandao wa www.google.com alafu andika 'Balozi Dola' utajionea mwenyewe habari zake kubwa babu sio kama namfagilia ni ukweli ambayo labda hutaki tu.
Big UP Balozi piga bao baba!