Home
Unlabelled
bima
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
plate number na gari la michuzi panaonekana ni bongo, lakini hili eneo gani hapa bongo? nisaidieni wanablog!!.
ReplyDeleteMichuzi...au hii ni harusi yako nini? bima iko bomba sana, naamini hii ilikuwa harusi ya michuzi jamani manake bongo nasikia harusi siku hizi zinakuwa bomba sana,embu tupe picha zaidi za hii harusi please kaka!!
ReplyDeleteKaka Michuzi...usitubanie jamani kama umeamua kutuwekea hii picha tupe ukweli pengine hii ndio harusi ya taifa iliyokuwa gumzo kwenye blog a week ago!!
ReplyDeleteJamani HAKUNA harusi ya Taifa iwe mwisho leo kuuliza uliza inakera sasa.
ReplyDeletebima kama hizi zipo nyingi sana hapa bongo, zinatumika kwenye maharusi nk, Msami wa Ohio upo kaka!!
ReplyDeleteFUCK MSAMI NA WAJINGA WOTE WNAOONA BIMA GARI YA MAANA ........BONGO WANAPANDISHA BI HARUSI HUKU.HUKO KWENU MNAPANDA NINI?
ReplyDeleteMichuzi....tusaidie kuondoa huu utata kaka...tupe picha zaidi za hii harusi then kila mmoja atapata jibu kama hii harusi ilikuwa ya taifa au ya michuzi au ya yeyote aliyerudi bongo kuoa kwa mujibu wa mila na desturi za kwao, au pia ya m'bongo yeyote aliyeamua kufanya mavitus kwenye harusi yake....picha zaidi zitaondoa utata please Michizi.
ReplyDeleteHIVI NINI MAANA YA HARUSI YA TAIFA? MIE SIJAELEWA MAANA SIO SEHEMU YA KWANZA KULIONA HILO NENO?
ReplyDeletewanablog tueleweshane kidogo jamani, hii picha panaonekana ni Tanzania lakini ni wapi haswa jamani? Kijani yaani garden miti yake na mandhari yake kwa ujumla pametulia sana!!
ReplyDeleteNadhani hii ni harusi ya mtoto wa kigogo fulani huko bongo, president au minister manake nasikia wabongo siku hizi kwa maharusi ya kisasa ndo wenyewe!
ReplyDeleteMichuzi....nadhani kampuni yako ya foto pointi ilikuwa kazini kwa mujibu wa hilo gari hapo(hiace). Harusi inaonekana ilipendeza sana tupe uhondo zaidi wa superstars waliyooana na picha zao na sisi tukirudi bongo kuoa tukupe businesi kaka.
ReplyDeleteSuala la gari (bima) nadhani halina umuhimu wowote kwenye hii picha pamoja na mada nzima, nadhani hilo eneo yaani miti ilivyopandwa na kustawi vizuri, nyumba yenyewe inavyopendeza ni mojawapo ya mabadiliko mazuri ya kimaendeleo kama hapo ni bongo kweli manake ni muda mrefu sasa tangu nijilipue na kuanza kubeba box, najitahihidi kuzichanga na mimi nikija bonge japo nifanye kaweding kangu kadogo tu kakifamilia... michuzi unakaribishwa japo siyo familimemba.
ReplyDeleteNdugu zetu mliopo bongo tufahamisheni hapo ni wapi jamani, bongo inapendeza sana siku hizi, baadhi ya picha za michuzi zinatupa mandhari halisi ya bongo ilivyo siku hizi, kuna harusi nyingine nimeona hapo juu imependeza sana, na ni ya kimila. Michuzi tupe uhondo zaidi wa hizi harusi ili tujue tutakavyojipanga tukirudi home kuoa.
ReplyDeleteHarusi ya Michuzi hii kama nitakuwa sijakosea..inaonekana ilipendeza sana..tehe...tehee...give us more pics of your wedding Broda Michuzi.
ReplyDeleteKaka Michuzi achana na hao wanaokuonea gere, Harusi hata wao wanaruhusiwa kufunga harusi pia, ni haki ya msingi ya kila mwanadamu kuoa au kuolewa, sana sana hapa michuzi nadhani yupo kazini na kampuni yake photo point..Michuzi tuambie tu hapa ni wapi..reception?? church?? Brides residents??...thats so!!
ReplyDeletebig up Howard! But michuzi knows his trade pretty well, certern comments are specifically aimed to pillocks who thinks owning a BIMA is an achievement sick!!
ReplyDelete