majengo kibao dar yanapigwa nyundo kupisha mapya. hivi sasa shirika la nyumba la taifa kwa kushirikiana na wabia binafsi limeamua kubomoa majengo makuu na kujenga mapya. na katikati ya jiji, upanga na sii vyuu imeamuliwa majengo yawe ya gorofa kuanzia kumi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Hii ni hatua muhimu. Lakini je wameandaa mifumo ya msingi kama usambazaji wa maji safi na maji taka, umeme, simu, barabara nk kwa ajili ya majengo haya mapya!

    ReplyDelete
  2. Demolition ni hatari watu wanatakiwa wawe mbali anything can happen

    ReplyDelete
  3. Ni kweli namsapoti anonymous huyu juu yangu, ni kweli hayo majengo yaliyojengwa miaka hiyo yana Asbestos ambayo vumbi lake linaleta kansa ya mapafu...Uliza wataalamu watakupasha...

    ReplyDelete
  4. Huo ni ujinga mukubwa- Majengo mengi ya zamani ambazo zinkumbukumbu vimepotezwa, njo hapa ng'ambo utaona wazungu hawabomoi majengo ya kihistoria - Serelkali yetu ina tamaa ya pesa zinazotolewa na wabia - think ahead, Enzi za Neyerere thubutu mgefanya hivyo!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...