hapa ni kisiwani pemba ambako ni kijani pyua na marashi ya karafuu yanukia kila mahali. ama hakika kama hujafika pemba hujafika visiwani kwetu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. duh hapa naona gari ya mbao na picha ya maalim seif tu!!!

    ReplyDelete
  2. sasa ulitaka uone nini kingine cha zaidi

    ReplyDelete
  3. Sjafika Pemba Michuzi, ila picha hizi zinanifikisha kiasi fulani. Naona kuna tawi la chama cha mzee wa Madevu...

    ReplyDelete
  4. Pemba kuzuri sana always kuko green hamna vumbi hio lami ni ya siku nyingi ila inasaidia sana,tatizo uchawi wa majini tu.

    ReplyDelete
  5. Pemba sijafika, lakini panaonekana pazuri sana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...