barabara ya ali hassan mwinyi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Ndio hapo hapo...karibu na Red Cross.

    ReplyDelete
  2. yaani ushamba wa magari meupe bado upo tu? inonekana ndio rangi inayoongoza bado, wakati huku ukiona gari nyeupe tu ni ya police au ya zamani saaaaaaaaaana ambayo hamna.

    ReplyDelete
  3. Yeah trio.. Ally Hassan Mwinyi ndio Bagamoyo Road toka siku nyingi tu.

    halafu we Anony kinakuuma nini kama watu wananunua gari nyeupe. Na kama N. America magari meupe ni ya polisi wabongo tufanye nini sasa... sababu TZ magari ya polisi sio meupe; na hata nchi nyingi za Europe pia. We nunua gari lako jekundu ulipeleke TZ.
    Isitoshe na Bongo la joto u could argue kuwa u need a reflective color to keep the car cool and save on using the A/C

    ReplyDelete
  4. Yeah trio.. Ally Hassan Mwinyi ndio Bagamoyo Road toka siku nyingi tu.

    halafu we Anony kinakuuma nini kama watu wananunua gari nyeupe. Na kama N. America magari meupe ni ya polisi wabongo tufanye nini sasa... sababu TZ magari ya polisi sio meupe; na hata nchi nyingi za Europe pia. We nunua gari lako jekundu ulipeleke TZ.
    Isitoshe na Bongo la joto u could argue kuwa u need a reflective color to keep the car cool and save on using the A/C

    ReplyDelete
  5. Howard,
    Kwani wewe kinakuuma nini kuwekwa picha ya barabara A.H. Mwinyi??? Na isitoshe, hicho kipande cha barabara haikupanuliwa na Kajima, it was Konoike, get the facts!!

    ReplyDelete
  6. Most white cars in TZ are Taxis...and who cares if it they like white cares anyway...??Sio ushamba wala nini...ni preference ya mtu

    ReplyDelete
  7. wewe anony hapo juu hebu tuandikie vitu vinavyoeleweka sio unaandika tuuu ilimradi unadonoa keyboard

    ReplyDelete
  8. Kha!mnakuwa kama hamjui hali ya hewa ya kwenu ...Huu mjua na mgari mweusi si utababuka ngozi.Tusisahau kipato chenyewe soo wachache wanaoweza kuwasha kipupwe muda wote.

    ReplyDelete
  9. Angalia huyu mchemfu Howard naye...
    unajua watu wengine wana matatizo. Blog sio kama gazeti au chombo kingine cha habari kilicho rasmi.
    Blog ni uwanja wako wa binafsi wa kuweka yale unayokusudia. Asili yake ni web-log.. yaani ni mahala ktk web (mtandao) unapoweka log ya events zinakuhusu binafsi au zinazokuvutia.
    Sasa hii ni blog ya michuzi na imempendeza yeye kuweka picha ya Ally h. mwinyi Rd. Ni uhuru na haki yake; we kama umeudhika basi usitembelee blog hii

    ReplyDelete
  10. Michuzi naipenda view hii ukiwa ndio unaingia "siti-senta". (labda lori tu hilo ndio limeharibu picha hapo). Ahh hapo kituo cha red-cross bwana... Umenikumbusha mbali...

    Ahsante sana

    ReplyDelete
  11. Howard stop mixing languages, you either write in english or in swahili. What do you mean by "ku-comment" or "ku-bother"? Is that the real english you are talking about?

    ReplyDelete
  12. To the anonymous poster above me.. if you are going to run off and start correcting people's language use, you have to make sure you have perfected your own grammar first.

    What the heck is this supposed to mean:
    Is that the real english you are talking about?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...