naiti klabu mpya dar. iko kinondoni blok 41 na zamani ilikuwa inaitwa kwetu baa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. kama ni ile kwetu bar, naomba kutoa comment au maelekezo.

    kwetu bar hiko kitalu namba 120,mtaa wa kinondoni shamba. naomba kuwasilisha.

    ReplyDelete
  2. jamani huu siyo msikiti? Ama siku hizi wanakodisha misikiti hadi siku za Jumamosi?teh teh teh kiti moto kitakuwemo ndani humo!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...