
kali ongala akichezea klabu ya vasby united ya swiden. kocha wa taifa staaz anatarajia kuita wachezaji wote wa nje wake kuisaidia timu ya nchi yao. kama kuna anayefahamu wabongo wanaotesa huko ughaibuni tuwasiliane ili tuone tutavyoweza kumuunganishia kwa kocha maximo. siku hizi hakuna mtimanyongo kama zamani, mchezaji mzuri anapata heshima zote kama wafanyavto wenzetu kama vile senego, kameruni, naijeria n.k
Vasby ingawa ni daraja bubu, lakini hiyo hela ninayopata taifa stars they can't afford even a quarter! Plus we don't want to come back living in the crime country! No ID number! No life insurerance! States doesn't know its people! Ujambazi moto moto! No way! Binadamu hana thamani Africa according to my expiriences! Unless you are somebody or you have something!
ReplyDeleteweee kunguni sijui nikuite kiroboto unaambiwa uje kuichezea Taifa stars kwa hizo mechi zake hujaambiwa uje kuishi, sasa ukiwa na ID inakusaidia nini. Mimi mwenyewe nina BIMA kali lakini payment zake inabidi nivute bangi ili nipate usingizi sasa wewe sijui unasema nini. Rudi uwakilishe nchi yako kama kungekuwa na mashindano ya kuonyesha BIMA ningepeleka ya kwangu pia maani ni ile ya kisasa. Hapa Ohio watu wanapenda kuja kuiazima azima na wengine wanapenda kuomba lift tuu just to feel how smoooth it tests ask anybody you know here in town they know me and my ride nimebatizwa jina la TALL HANDSOME MSAMI (THM)
ReplyDeleteat least hapa msafi umeweza kuonyesha elements za uzalendo na nchi yako, sio kama ile pic nyingine ulivyokandia bongo na kusema wewe hurudi kisa tu umeona madimbwi.nimefurahi umeweza kumkosoa huyo anon wa kwanza kabisa. big up to you bro. keep doing the good thing and remember where you come from!!
ReplyDeletei am sorry i mean to wrote Msami and not msafi
ReplyDeleteMichuzi, nilidhani Kali kaacha soka. Kumbe bado yumo. Je unajua rekodi yake huko (mabao kafunga mangapi na mambo kama hayo).
ReplyDeleteI thought Kali ana uraia wa UK au?
ReplyDeleteuyo kali kama si bongo huyo baba yake si angekuwa chokoraa tu huko alikokimbia,mwenyewe Remi kila siku anasema amekimbia kwao kongo kufika bongo ndio kafanikiwa,kama hivyo basi kali arudi kwao congo kwenye ID za kumwaga.
ReplyDeleteAnony wa mwisho hapa, kabla hatujamkasirikia na kumchenjia Kali, tuhakikishe kwanza kuwa huyo mpuuzi alipost comment ya 1 ni yeye kweli.
ReplyDeleteNa kwa maoni yangu sidhani kama ni Ongala huyo aliyesema harudi TZ kwasababu hamna ID, etc. Nadhani ni mwingine tu kati ya wabeba mabox walio Ulaya wanaojifanya kila siku kuiponda Bongo na kudai hawataki kurudi
wewe mtoa hoja namba 1 nadhani huu ni wakati muafaka wa kuacha kusafisha vyoo vya wazungu hafuru itakuchanganya zaidi na kuona kushika mavi ya wazungu ni kuwini. Hebu niambie ni mchezaji gani analipwa hela nyingi kwenye timu ya taifa kuliko club yake.
ReplyDeleteBwana Trio kaka nakuunga mukono kabisa nchi hizi zilizo endelea wanabeba mabox wenyewe wazawa lakini nchi maskini kuliko zote duniani sijui ya tatu kutoka mwisho wanadharau lakini asilimia kubwa wako mijini wana vizia kuchomoa mifukoni na wengine kutu bomu kila siku, sisi tunao beba mabox tuna uwezo wa kujisomesha na kulipia nauli hadi million 2 shilingi na kuja nyumbani, shule huku tuna lipa hadi dollar 10,000 kwa mwaka tunamaliza digrii na tukija bongo tuna komba kazi nzuri nzuri, wawekezaji wenyewe wa bongo ndiyo hao waamerika na waingereza wanapenda watu waliomalizia mtoni. Sasa wewe unayesoma kwa kuandamana na kupigwa mabomu ya machozi ukijalibu kudai dollar 700 za vitabu tu unamzidi nini anayesoma kwa raha huku akibeba mabox.Sasa Kikwete kabana mjilipie gharama za shule sasa sisi tukirudi huko itabidi nyie wa vyuo vikuu mtufurie mpaka chupi na mwogeshe mbwa wetu kila siku labda mtapata akili kuheshimu kazi maana hiyo itawasaidia kulipia gharama za shule. Usidharau kazi ya mtu wakati ukijua inamsaidia mbele ya safari. Huku siyo kwetu tunapata elimu itatusaidia kesho na wengine kama sisi maskini tunasomesha ndugu zetu vyuo vikuu na hivyo hawana haja ya kuandamana na kupigwa mabomu huko kwenu mkijalibu kudai hela za mikopo msiyo rudisha. Kalia ushamba na uvivu wa kutofanya kazi ukidhani utachekwa.Mimi ninaosha vizee napata dollar 700 kwa week nasoma nakulipia gharama zangu zote lakini siandamani wala sipigwi mabomu ya machozi, nikimaliza nitakuwa nakula dollar 50,000 hadi 60,000 kwa mwaka huku huku lakini kumbuka nikija utanifuria chupi zangu na za mama watoto, nahapo utakumbuka maneno yako na kama mamsapu wako ni mzuri basi ujue ni harari yangu nikiwa huko...
ReplyDeleteKaka Michuzi naomba nirudie tena swali langu maana halikujibiwa. Nakumbuka kuwa kalimangonga alikuwa ana uraia wa Uingereza (hivyo hawezi chezea TZ). Niko sahihi ama?
ReplyDelete