msosi wa hoteli ya bahari bichi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. huu ndiyo msosi wa harusi ya taifa?

    ReplyDelete
  2. wewe msenge nini? Harusi ya taifa kila mara una chosha sasa. una cha kuchangia tambaa mbele. Hakuna kitu cha Harusi ya Taifa, Umesikia sasa fala wewe? Hakuna Harusi ya Taifa.

    ReplyDelete
  3. anony 1:46
    Acha watu watoe mawazo yao. Wewe siyo Michuzi. Atambae wapi, kwenye kuma ya mama yako?

    ReplyDelete
  4. ohoooo...chonde jamani, lugha chafu noma humu. tafadhalini sana jamani...au vipi?

    ReplyDelete
  5. Michuzi
    Kweli mzee nakubaliana na wewe kama mtu ametoa mawazo yake bila kutukana asitukanwe na kuitwa msenge. Kila mtu anajua kutukana ila heshima ni kitu muhimu sana naona watu hawasomi maelezo yako juu kama kuna mtu anakereka na maneno ya kistaarabu yeye ndiyo anatakiwa atambae mbele anakojua yeye.

    ReplyDelete
  6. Vyakula vyote vya kukaanga, No wonder karibu watu wote wenye uwezo wa kufika sehemu hizi wanavitambi

    ReplyDelete
  7. That is junk food, there is nothing worthwhile inside it. Plz stop eating this kind of food very often.

    This kind of food has been banned from the most schools, colleges and Universities here in europe and else where because it gives low percentages of nutrition into brains of human being that lead to low capacity of thinking.

    More information about junk food can be found here or google it.

    Thanx.

    ReplyDelete
  8. kilichokaangwa hapo labda hizo chips tu ,lakini mbona kuna vegetables na hio kitu sijui ni samaki nafikiri kiko grilled,sio kibaya.ila chips ni nyingi sana

    ReplyDelete
  9. Nasemaa hiviiiii:
    Hata mseme nini, hii ndiyo misosi niliyokulia, kwa hiyo nitaendelea kula tu,, haya mambo ya kwenda ughaibuni na kuanza kuga iga mambo ni ushamba tu, hakuna lolote!! kama hao wanajali sana afya, mbona wana miili mikubwa kama friji? huko ni kutishana tu, kwani mbona mababu zetu wamekulia vyakula vya kikwetu na wengi wao wameishi miaka 70+, sisi tunaojidai kujua saaaana, miaka 40 mingi!

    ReplyDelete
  10. chakula hakivutii chumvi kwenye bakuli mhh makubwa haya hapo nibahari beach kweli?

    ReplyDelete
  11. How I long for chakula cha nyumbani! Enough of the 11-months chicken, carbondioxide-ripened bananas and glucose-infused lamb chops. Wewe kula Mzee but do not forget to exercise a bit. As for booze, No, No, No.

    It is true Trio Kaka people are squirming at any sight of chips and nyama because they think every food is MaDonaldized (if that's a word).

    ReplyDelete
  12. Mlokole, mikogo miiiingi ya kiingereza juu ya nini baba? nyie ndiyo wale mlioowa wanawake wa kizungu wakubwa kaa friji kiswahili kinaanza kuwapiga chenga sasa.

    ReplyDelete
  13. Mr. Michuzi naona uaenze kuwa moderator sasa. Ina bidii kuchuja maoni kwanza kabla hayajawa posted kwenye blog yako.Matusi yameanza tawala. Kuna blog nyingi za wabongo waliko nje zimeja matusi.
    Be careful.

    ReplyDelete
  14. Michuzi nilikuwa nadhani wewe ni muislamu safi kumbe unajichana mabia na kiti motoz! Au nimekosea?

    ReplyDelete
  15. oganiki inglishi brekfasti!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...