wiki hii nina bahati ya kutembelewa na meya wa stokhomu mh. nyupi mwakikosi. nashukuru ameondoka juzi maana alishataka kutumalizia serengeti zetu. hapa tulikuwa kijiji cha makumbusho kijitonyama. nasikia mtimkubwa nae anatia timu bongo mwezi ujao. yu al welkam oll

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 19 mpaka sasa

  1. Meya wa Stockholm? Uongo gani huo jamani? HAKUNA muafrica hata mmoja katika Swedish Government! Eti meya! Anapiga kifagio huyo! Watu wote wa Stockholm hatumjui! Kama hamuamini nendeni www.sverige.sv utaona(Sweden kiswedish ni sverige)
    Michuzi wewe unapokea mabom tu bila ya kutafuta proove yeyote.....ama kweli shule nzuri!

    ReplyDelete
  2. mbona una hasira sana je unajuaje kama huo umeya ni kujifagilia kibongo bongo,sijui kama papa nani,luteni flani amri jeshi mkuu na unakuta mtu hana hivyo vyeo,acha hasira

    ReplyDelete
  3. Looh, ni aibu kubwa nafikiri Michuzi humfahamu huyu mtu yeye na kaka yake Patric Chawe ni uchafu mtupu wanavuta bangi mpaka wanajinyea leo hii unamuita meya hii ni kuwadhalilisha watanzania wa Stockholm kuwa na meya taipu hii, oh God

    ReplyDelete
  4. Hao jamaa kilicho wauma hasa ni nini? Jamaa kuitwa meya? Acheni roho zenu mbaya. Inaonekana ninyi ndio mnavuta bangi kitu hata hujakitafakari unalipuka tu ooh hakuna mwafrika, mara website, mara shule nzuri. Ovyoo!

    ReplyDelete
  5. Kumita mtu MEYA sio kuwa na Meya was Stock....katumia kama mwenyeji was Stockholm.... alafu bangi kufuta sio uchafu hivyo unavyofikiria. People come down...

    ReplyDelete
  6. ...to call a person 'mayor' is just an expression; it only means a person is familiar with an area or 'alwatan' of where he lives. Inatumika sana kwa watanzania walio nje ya Tanzania. Maaan, people...RELAX!!!

    ReplyDelete
  7. huyo Anony wa juu akili zake nusu kabisa. We kwani ukafikiria kabisa seriously kwamba Michuzi alimaanishi huyu ni meya literally?

    Kama una hasira sana saga chupa umeze basi

    ReplyDelete
  8. jamanii jaziba jaziba......kabla haujaripuka uliza kwanza ndio utoe maoni yako, vinginevyo unaweza ukaonekana kituko bure mbele za watu...nadhani tuna wengi tu wanaotumia hizo titles mfano luten kalama,balozi dola sol, afande sele kutaja wachache tu.....

    ReplyDelete
  9. kamba nyingi ni noma hakuna kitu kama hio ya umeya hapa sweden

    ReplyDelete
  10. Anony wa 8:35Am umenifurahisha kweli. Mpe mpe huyoooo.....

    ReplyDelete
  11. Huyo anony ana kichwa kigumu kwelikweli. Yaani pamoja na maelezo yote hayo bado anajifanya yeye ndio anaijua Sweden kuliko hata Wasweden wenyewe. Sawa hakuna kitu kama hicho cha umeya, lakini ndo umeshaambiwa sasa, Nyupi ndio Meya wa Stockholm. Limekukera mno kajiflush chooni!

    ReplyDelete
  12. wakimbizi wa sweden mbona wagumu kuelewa na hampendani?duh?hadi mnataka kurusha ngumi humu??

    ReplyDelete
  13. Mmeshajiripua,basi akili zisilipuke,subiri paper zako taratibu,kama SHULE NZURI yako bwana,acha kashfa.Kwanza haitusaidihi kitu,labda unaosha vyombo tu.

    ReplyDelete
  14. Wataalamu na wana --blogu, mzee wa baraza Michuzi....naomba mawasiliano ama anuwani ya barua pepe ya Meya wa Stckhm ..Mh. Nyup, ndugu yangu nimepoteza mawasiliano naye tangu 1992!

    ReplyDelete
  15. Naona watu wengine ni Jazba au UPORIPORI tu ndio unawasumbua. Mayor inatumiwa na watu wengi kuonyesha kujulikana kwao au kuujua mji wanaoishi. Yaani kuna watu kabisa walifikiri kuwa jamaa amempiga fix Michuzi kuwa ni Mayor kweli !! Kweli watu wengine akili finyu na zero kabisa hahahahahahah.

    ReplyDelete
  16. Mbona hata mimi ni meya wa Ohio najulikana kama BIMA yangu hapa ohio nina plate number nimepewa inasema MAYOR OH sasa wewe punguwani sijui nikuite pumbu one kinakuuma nini? hata kama anajinyea kunaubaya gani siukamchambe basi na ulimi?Mimi siyo mayor lakini nina hadhi kubwa ya umeya hapa Ohio kila mtu ananiita meya and am happy...I diserve it, naka mtama kangu kamepaki nje? lol mtajiju...

    ReplyDelete
  17. Hivi wewe Msami ukisema Ohio unamaanisha wapi haswa, cincinnati, cleveland, columbus ( moss rodi??) wewe mjamaa mjinga mjinga yaani mpaka unaudhi however hard we try to ignore you inashindikana, una deserve award ya limbukeni of the year, katika watu wote wanaoishi huku up north sijawahi kusikia wala kuona mshamba kama wewe, hiyo Bima, they are normally called Beemers inaonekana ni archievement ya Lifetime, lakini tunaweza kuelewa ukizingatia babaako Kanali Msami alikuwa na Corolla tu,naishia hapo, sasa ukiendeleza upumbavu wako utabaki uchi hapa!!

    ReplyDelete
  18. Eeh bwana eee, ngoja nikae mkao wa kusoma .....:-) Moss Road kwa msomali, teh teh teh....Anony hapo juu umeshusha habari kwa ufupi; namsubiri Msami aseme kitu ili habari kamili iandikwe; patamu hapa!

    ReplyDelete
  19. Mmh kumbe jamaa ni meya??? Mie nasikia jamaa ni PIMP na SNITCHER mitaa hiyo.Poa kama kapanda cheo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...