joketi mwengelo ndo aliyenyakua taji la balozi wa redds ambalo mwaka jana alivaa natalia noel. hapo meneja wa redds mpeli nsekela akiwa na mkurugenzin wa masoko wa bruwalizi david minja na warembo natalia na joketi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Miss Tanzania huyo yuko bomba sana, mtoto mzuri sana wewe.

    ReplyDelete
  2. Kaka Michuzi,
    Hii picha hata ukiikuza mbona bado ni ndogo?
    Tafadhali ukiweza uwe unatuwekea picha zenye size kubwa.

    ReplyDelete
  3. untaka picha kubwa zaidi ya nini wakati hii inaonekana clearly? Au unaangalia picha za warembo na kujichua?

    ReplyDelete
  4. Kamanda wangu, naomba nisieleweke vibaya. Picha ni kweli iko clear lakini tukiweza kupata ambazo ni kubwa zaidi sio mbaya. Maana kuna picha nyingine Kaka Michuzi hutuwekea picha ambayo unaiona bila tatizo lakini wakati mwingine anaweka vipicha kiduchu.

    ReplyDelete
  5. Sasa huyu ndo alitakiwa kuwa Miss tanzania jamani au wenzangu mnaonaje???

    ReplyDelete
  6. HALAFU HUYU JAMAA NASIKIA NI KIWEMBE SANA, HUYU JAMAA ANAITWA MPELI.NI VIPI KUHUSU HUYU DADA KAPONA KWELI?

    ReplyDelete
  7. Jamani wanawake ni wazuri, lakini starehe ya muda mfupi isituletee mauti. Tuwe na tabia ya kutumia condom, kwani ukimwi hauonekani usoni.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 20, 2007

    jamani all good men are taken. Loh ashame, david hes the best no scandal low profile. kwa hali ya kawaida kwa kazi aliopo ndo angekua spotlight.. KEEP IT UP MATE

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...