Home
Unlabelled
redds
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Miss Tanzania huyo yuko bomba sana, mtoto mzuri sana wewe.
ReplyDeleteKaka Michuzi,
ReplyDeleteHii picha hata ukiikuza mbona bado ni ndogo?
Tafadhali ukiweza uwe unatuwekea picha zenye size kubwa.
untaka picha kubwa zaidi ya nini wakati hii inaonekana clearly? Au unaangalia picha za warembo na kujichua?
ReplyDeleteKamanda wangu, naomba nisieleweke vibaya. Picha ni kweli iko clear lakini tukiweza kupata ambazo ni kubwa zaidi sio mbaya. Maana kuna picha nyingine Kaka Michuzi hutuwekea picha ambayo unaiona bila tatizo lakini wakati mwingine anaweka vipicha kiduchu.
ReplyDeleteSasa huyu ndo alitakiwa kuwa Miss tanzania jamani au wenzangu mnaonaje???
ReplyDeleteHALAFU HUYU JAMAA NASIKIA NI KIWEMBE SANA, HUYU JAMAA ANAITWA MPELI.NI VIPI KUHUSU HUYU DADA KAPONA KWELI?
ReplyDeleteJamani wanawake ni wazuri, lakini starehe ya muda mfupi isituletee mauti. Tuwe na tabia ya kutumia condom, kwani ukimwi hauonekani usoni.
ReplyDeletejamani all good men are taken. Loh ashame, david hes the best no scandal low profile. kwa hali ya kawaida kwa kazi aliopo ndo angekua spotlight.. KEEP IT UP MATE
ReplyDelete