hii ndo siku bwm alipompa ujenerali mzee sam mirisho hagai sarakikya, mkuu wa kwanza wa jwtz aliyefanya kazi akiwa amevunja rekodi ya kupanda vyeo toka ukepteni hadi ubrigedia, kisha meja jenerali na kuchupa hadi jenerali baada ya kustaafu. hapa jwtz walikuwa wanatimiza miaka 40

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Vyeo vikubwa, kula kukubwa, kazi mbuzi! They are all gansters!

    ReplyDelete
  2. aisee mbona jamaa kama anasomewa mashtaka?

    ReplyDelete
  3. Sarakikya ni shujaa - Watanzania tunabahati ya ajabu kuwa naye. Mwalimu alimwonea vibaya sanaaa na kumfanyia ushenzi, kama kawaida yake, lakini huyu shujaa hakukata tamaa, aliendelea kuitumikia nchi yake inspite it all. Ni bahati mbaya wengi ktk blog hii hawamfahamu lakini he is the Best of the Best - kama Mwalimu asingekuwa na hangups zake, TZ tungelikuwa mbaaaaliiii - instead twenda nje ya nchi yetu kupata hayo manufaa waliojijengea wenzetu. What a pity....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...