Home
Unlabelled
sista
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
u don't resamble at all!
ReplyDeletemzuri kuliko demu wako misupu.
ReplyDeleteJamani hivi nyie Vihiyo hapo juu mna matatizo gani? kwani DADA mpaka mfanane? na wewe kunguru wa pili kwani amekwambia nani Michuzi anamfananisha na demu wake sijui? Jamani kuna kazi kuwaelimisha watu kama nyie wawili, inaonekana mna stress na mko paranoid.Tumieni hii blog vizuri ama leo ndiyo siku tu uliyo bahatika kuona hii blog?
ReplyDeleteMichuzi Dada yako ni mzuri na anaonekana mwenye heshima zake na maendeleo usikate tamaa kuwaweka ndugu zako wengine kwa sababu Vihiyo hapo juu wana toa kauri chafu. Dada naona katulia, VIPI eti kaolewa? ama anamchumba? Nidokezee ndugu yangu......
Askofu pengo tatizo ni kubeba MABOX sana yanaharibu akili ati!!!! wahurumie hao anony wa hapo juu.
ReplyDeletenafikiri huyo anony wa juu ni same person ambaye kila Michuzi akipost picha tu anakuwa wa 1 kucomment na huwa comments zake za kipuuzi kama hivi kila siku
ReplyDeleteWaungwana dada kavaa cheni mguuni, ukimfuma huyu kwa sisi wataalamu huna haja ya kuuliza, unakwenda tu pande zote bila mataatizo.
ReplyDeletekwani wao ni wachina kwamba wote wawe na sura moja ..
ReplyDeleteAnonymous 5:57 acha u racism. Wachina nao wanasema waafrika wote wanafanana.
ReplyDeleteNa Waafrika wanasemaje?
ReplyDeletethat what we africans say '...we are not evolved from monkey specie...............!'
ReplyDeleteMichuzi acha mambo huyo Mishi sio Dada yako,na wanataka kumjua kaole na Mzungu wa Texas anayewinza Tanzania.Labda dada wa kufikia tuu kwa Michuzi.Mishi New York inakukumbuka lini utarudi tena?
ReplyDelete