niko na mai sista wangu mishi kwenye harusi ya nanihiii

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. u don't resamble at all!

    ReplyDelete
  2. mzuri kuliko demu wako misupu.

    ReplyDelete
  3. Jamani hivi nyie Vihiyo hapo juu mna matatizo gani? kwani DADA mpaka mfanane? na wewe kunguru wa pili kwani amekwambia nani Michuzi anamfananisha na demu wake sijui? Jamani kuna kazi kuwaelimisha watu kama nyie wawili, inaonekana mna stress na mko paranoid.Tumieni hii blog vizuri ama leo ndiyo siku tu uliyo bahatika kuona hii blog?
    Michuzi Dada yako ni mzuri na anaonekana mwenye heshima zake na maendeleo usikate tamaa kuwaweka ndugu zako wengine kwa sababu Vihiyo hapo juu wana toa kauri chafu. Dada naona katulia, VIPI eti kaolewa? ama anamchumba? Nidokezee ndugu yangu......

    ReplyDelete
  4. Askofu pengo tatizo ni kubeba MABOX sana yanaharibu akili ati!!!! wahurumie hao anony wa hapo juu.

    ReplyDelete
  5. nafikiri huyo anony wa juu ni same person ambaye kila Michuzi akipost picha tu anakuwa wa 1 kucomment na huwa comments zake za kipuuzi kama hivi kila siku

    ReplyDelete
  6. Waungwana dada kavaa cheni mguuni, ukimfuma huyu kwa sisi wataalamu huna haja ya kuuliza, unakwenda tu pande zote bila mataatizo.

    ReplyDelete
  7. kwani wao ni wachina kwamba wote wawe na sura moja ..

    ReplyDelete
  8. Anonymous 5:57 acha u racism. Wachina nao wanasema waafrika wote wanafanana.

    ReplyDelete
  9. Na Waafrika wanasemaje?

    ReplyDelete
  10. that what we africans say '...we are not evolved from monkey specie...............!'

    ReplyDelete
  11. Michuzi acha mambo huyo Mishi sio Dada yako,na wanataka kumjua kaole na Mzungu wa Texas anayewinza Tanzania.Labda dada wa kufikia tuu kwa Michuzi.Mishi New York inakukumbuka lini utarudi tena?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...