wasanii wa kigogo waishio kitongoji cha chamwino
mji kasoro bahari wakityumbuiza

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Michuzi unanikumbusha mbali sana, hapo Chamwino karibu kwa Mahita ndipo nilipoopoa mchumba wangu Siwageni. Alafu hawa wagogo woote wapo kambi ya FUNGA FUNGA pale Kasoro bahari, mchana wanatalalika mitaani. Big up!

    ReplyDelete
  2. Hawa ndio wanapiga mablues ya Kitanzania. Akina Muddy Waters wa bongo hawa

    ReplyDelete
  3. mgogo akiwa na marimba anaweza kutembea km 100 kwa siku, kwao mpaka zuzu na kurudi)

    ReplyDelete
  4. Ananikumbusha Mzee Morrisi Nyunyusa na ngoma zake. Famous for RTD TIME signal.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...