kiongozi mdogo kuliko wote na mkongwe wakiwa newala

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 24 mpaka sasa

  1. Mugabe is the REAL DEAL!! The geezer is a TRUE SURVIVOR who doesn't cease to amaze and inspire a whole generation of Africans that grew up in late 70's during apartheid, Ian Smith and Rhodesia (Salisbury) and the opposite armed revolution era of ZANU-PF, ZAPU, SWAPO, Soweto massacre, ANC, PAC and the rest. PAMBIRE NA MUGABE!!

    ReplyDelete
  2. Yeah, he was a survivor, a son of Africa, a patriot, a revolutionist and what have you. But all that is history now. He selfish, power monger, a dictator and you name it. In a few words; he has lost direction

    ReplyDelete
  3. Mugabe of today is still the SAME old UNCOMPROMISING HARDCORE REVOLUTIONARY of yesteryears. You HAVE TO KNOW HIM TO APPRECIATE HIS GUTS. THE MAN HAS NEVER ONCE ABANDONED THE PRINCIPLES HE HAS ALWAYS FOUGHT FOR IN BLOOD: NAMELY WHITE SUPREMACY IS THE ROOT OF ALL SUFFERING AND EVIL IN THIS WORLD!!

    ReplyDelete
  4. If you know that, why you came to America?

    ReplyDelete
  5. to solve it

    ReplyDelete
  6. Annony,10:19PM,your problem is source of information is CNN and BBC, i am not suprise, these broadcast has already change your mind, ok, the best leader are George W Bush and Tony Blair.

    ReplyDelete
  7. Huwa napenda kumuita Comrade Mugabe.Michuzi Jk hapo alitoka kidogo nini?Anyway Mugabe ni alama halisi ya bara la Africa kwa sasa japo anayumbishwa lakini hayumbi sana.Kabila naye sijui maana Pierre Bemba anaihitaji Congo kwa udi na uvumba.Sijui kama jamaa atapenya kwenye marudio hapo october.Vilevile wachangiaji msipende kutuonyesha kwamba mko America maana sisi huku Bongo haitusaidii lolote,kama mna hoja toeni hoja na si kujionyesha.

    ReplyDelete
  8. How can you claim that Mugabe is a revoltuionary while his country is sinking into deep poverty?? Zimbabwe used to be the pearl of Africa, where at some point people from Tanzania realy wanted to Immigrate and get better lives in Zimbabwe. Now it is the opposite (Zimbabweans want to come to Tanzania) -despite having no electricity, we are way better off than the Current Zimbabwe under Mugabe). May be I have misunderstood the meaning of "revolutionary"".....

    ReplyDelete
  9. Maskini Afrika! Lord have mercy. Yaani Mugabe anaonekana malaika bado? Kama alivyosema anony mmoja hapo juu, inawezekana aliwahi kuwa mzuri lakini sasa hivi ni mchovu tu. Wewe unayesema CCN na BBC, sasa uongo wao nini? Kwamba Zimbabwe ilikuwa inalisha Zambia, Malawi,Tanzania na Botswana na sasa hawawezi hata kujilisha wao wenyewe? Au kwamba kwenda dukani kununua sabuni unahitaji kubeba begi la pesa?

    ReplyDelete
  10. Jamani!Zimbabwe hali ni ngumu sana.Na hii yote ni sababu ya huyu mzee.Nilikuwa huko karibuni sikuamini nilichikiona, Sasa shule za msingi huko zinafundishwa lugha ya MANDARIN!!!!Na wachina ni bwerere kule.Kisa misaada toka huko na imani yake kuwa ipo siku wachina watatawala DUNIA.

    ReplyDelete
  11. MUNGU NIBARIKI MIMI, MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU IBARIKI AFRICA, MUNGU IBOMOE AMERICA!!!!! All in All, Nitaipenda, nitaitetea na nitafia Africa. Wale woote wanao migrate from Africa na kukimbilia Ughaibuni wakidhani wanakwenda kutafuta maisha kumbe wanakwenda kuwa watumwa wa fikira, na cheap labour, wakidhani wanaitafuta DEMOCRACY kumbe wanaifuata DEMON-CLASS, nawaonea huruma.
    Njaa na matatizo ya Zimbabwe ni ujinga wa walio wengi kule waliozoea kupewa na kutumikishwa kama watumwa ndani ya nchi yao. sasa mabwana zao wamefukuzwa hawataki kujishugulisha. na hao mabwana siku zao ni fupi kwa uuaji waufanyao kwa kuwawekea vikwazo, na kujitahidi kumdhoofisha Mzee Mzima.
    VIVA MUGABE, VIVA ZANU PF, VIVA MIMI MWENYEWE, VIVA WATANZANIA NA MACHINGA TUNOSOTA KWA KUTAFUTA MAENDELEO YETU NA TAIFA LETU, VIVA JK.
    Ushauri kwa mzee mzima Mugabe... PUMZIKA tuachie vijana tuendeleze mapambano.

    ALUTA KONTINUA

    ReplyDelete
  12. Mvuvi, umeongea POINT, kuna watu wanapoona matatizo hawataki kuangalia mbali, unapokwenda kinyume na haya mataifa makubwa watajitahidi kukuyumbisha, tumeona LIBYA, CUBA, TANZANIA YETU, na sasa ni zamu ya ZIMBABWE, ni heri uangaike wewe na watoto wako, kuliko kuwa mtumwa milele, VIVA CASTRO, GADAFI, MUGABE, shida zisitufanye kuwa watumwa.

    ReplyDelete
  13. Mnaomsema Mugabe vibaya mnakuwa hamuangalii historia nzima ya jinsi masuala ya Zimbabwe yalivyokwenda.Hapa nazungumzia tangu mikataba ya uhuru na jinsi ambavyo wakoloni waliendelea kuhodhi uchumi ambao eti tunadiriki leo kuuita ulikuwa "uchumi mzuri" wa Zimbabwe.Ukweli ni kwamba ulikuwa uchumi mzuri wa waingereza.Wazimbabwe waliendelea kuwa watumwa na pengine hili ndilo wanalolilia mpaka leo,wanataka waendelee kuwa watumwa.

    Hali hii ni kama pale Tanzania ambapo pamoja na kujulikana kuwa kama chachu ya rushwa,wahindi bado wanashikilia uchumi wetu,kunyanyasa wafanyakazi wao,kukwepa kodi na kupeleka kila kinachopatikana Canada,Marekani,India,Uingereza nk bado hakuna anayesimama kuwakemea waziwazi.Kisa eti tunaogopa kuambiwa wabaguzi wa rangi nk.Sisi tunapobaguliwa nani anatusemea?

    Mwisho,hakuna taifa duniani ambalo liliendelea bila ubabe fulani katika maamuzi.Tizama vizuri historia za hizi nchi zinazoitwa G8.Ubabe ulitembea vizuri tu.Angalia kina Musolini,kina G.Washington,kina Churchill,kina Lincoln na wengineo chungu mbovu.Angalia hata waasisi wa marekani kama C.Columbus.Najua mtu atasema tunaishi katika karne tofauti bla bla.I will tell you one thing the players changes but the game does not change.Naamini Mugabe is on the right course.Mapungufu ya demokrasia na nini ni ya kila mahali.Kwani huko Marekani kuna demokrasia?George Bush alifikaje hapo alipo?

    ReplyDelete
  14. Hugo Chavez is hero,i quote him, the devil is in the house, i can smell it,(G W Bush). He protect terrorist has long as they are not threat to U.S.A, eg Luis who was in the jail in Venuzuela. Viva, HUGO CHAVEZ, F CASTRO , M GADAFI, J K NYERERE, R MUGABE, ndio tutaangaika tusikubali kuwa watumwa wa kisisa, kiuchumi milele.

    ReplyDelete
  15. Anyon wa 6:40 umenena ukweli ulioenda shule.Wengi huwa tunaangalia just current times bila kuzingatia kilichotokea(historia).Ni kweli pia mpaka leo ubabe bado unaendelea.Hatuoni jinsi Marekani ilivyo mbabe kwa kila mtu including wananchi wao wenyewe?Yapo maamuzi mengine ambavyo pamoja na uwezekano wa kukuletea maadui,kuitwa majina mbofumbofu nk ni lazima yachukuliwe.Faida zake huwa ni za muda mrefu sana.Pengine Mugabe atakuwa ameshatoweka humu duniani Zimbabwe itakapokuwa nchi ya kwanza ya Afrika kupata uhuru kamili,hususani wa kiuchumi.

    ReplyDelete
  16. mimi hata mkinishambulia humu ndani lkn siogopi kusema kua nampenda Mugabe, ofcourse sipendi jinsi maisha ya wananchi wake wanavyoishi kwa tabu lkn napenda jinsi anavyowatimua wazungu kwenye mashamba. ujue wazungu wanakula sana hela za bara letu, we fikiria madini yetu yanavyoingiza mabilioni na mabilioni, lkn ni nani anayefaidika, ni wazungu ambao wanaenda kuzitumia hizi hela zetu kwenye nchi zao. na sisi tunabaki maskini wa kutupa. ujue hawa majambazi wawili Uingereza na Marekani wenyewe watakusaidia kama ukifuata masharti yao, na ukikataa basi ndo umekufa kiuchumi, kwaio wenyewe baada ya kuona mali za weupe wenzao zinachukuliwa wakaja juu na kusema Mugabe ni Dikteta.nakumbuka mwalimu wangu wa history alikua anazungumzia hili jambo, akawa anasema kua Uganda kuna kiongozi ni dikteta( sina uhakika kwa sababu sifatilii sana news)lkn Marekani ndo wa kwanza kusema kua Uganda ni nchi yenye diplomasia Africa, wanasema hivyo kwa sababu wanafaidika kutoka Uganda(nafikiri wana military base huko Uganda). lkn my point ni kwamba ukitaka kupata misaada ya nchi hizi mbili lazima ukubaliane na misimamo yao, la sivyo utakufa tu kiuchumi, ndo maana watu wanasema umaskini mbaya, maana unaburuzwa kama hauna akili. we angalia Iraq, hivi unafikiri marekani iliivamia Iraq kwa sababu wanawapenda, na walikua wanataka wananchi watoke kwenye makucha ya Saddam? wenyewe pale walikua wanafuata mafuta, ona saivi jinsi wairaq wanavyolalamika na maisha yao, maana amani ndo imetoka zaidi. mbona kuna nchi nyingi zina madiktete lkn Marekani hawawavamii?kwa sababu wanajua hizo nchi hamna kitu.yaani hawa wazungu washenzi kweli(kama Mugabe alivyowaita mbwa)maana wenyewe wanakupenda kama ukiwa na kitu kama hauna hawakujui,

    ReplyDelete
  17. WEWE UNAYE SEMA SOURCE ZA CNN NA BBC WEWE SOURCE ZAKO WAZITOA WAPI? IPPMEDIA? HACHENI STORI ZA KUPONDANA HAPA KUJIONA WEWE ZAIDI KULIKO MWENZAKO. KUMBUKENI HAWA WANATOA HABARI ZA UKWELI KULIKO IPPMEDIA WANAO TOA HABARI KUMPA MISIFA KIKWETE KILA SIKU ATA KAMA HAYUKO SAHIHI. HACHENI CHUKI ZISIZO NA MSINGI.

    ReplyDelete
  18. sasa wewe anony mbona unaharibu utamu wa mtiririko wa hoja za watu? wenzako wanamwaga point za mugabe na conflict za uchumi baina ya nchiza magaribi na zetu africa na wewe unaleta ippmedia na cnn.

    ReplyDelete
  19. Sera za Mugabe za kutimua wazungu wakati alikuwa hajawaandaa wazimbabwe kushika uchumi kikamilifu ndio hasa unaoonyesha uchovu kichwani kwa Mugabe na washirika wake!!!

    ReplyDelete
  20. Hee Jongwe! Zimbabweee!!!
    Endeleeni tuu kujenga opinions zenu kwa kumeza propaganda za CNN na BBC.
    Mugabe ni kichwa kwa taarifa yenu.

    ReplyDelete
  21. kwenye hii picha anasinzia

    ReplyDelete
  22. Hili dudu Mgabe mpaka linatia kinyaa jitu gani linakula peke yake halitaki freedom na wengine waongoze nchi eti linasema litaongoza mpaka life, hayani kabisa hili, chawa zimejaa kichwani, zeee zima aibu hakuna. haya ndiyo akina Banda wa malawi

    ReplyDelete
  23. Tatizo la vizee kama Mugabe na Castro wa Cuba ni kuwa haviandai watu wa kushika Uraisi badala yake matokeo yake kutwa vinaota kupinduliwa tu hata mchana kweupe.Havimwamini mtu mwingine yeyote kuwa anaweza kuwa Raisi!
    VIZEE VIZIMA LAKINI HOVYO!!!

    ReplyDelete
  24. Zimbabwe = Jongwe = Pamberi na Chimurenga!

    Wazungu (Waingereza) walikuwa wanakwenda kwa serikali ya Malkia:

    Tunataka kwenda Kenya au Southern Rhodesia.

    Malkia: Nendeni kwa Foreign Office kuomba vibali vya kumiliki ardhi pamoja ana biashara. Halafu nendeni benki mpewe sterling pounds, na kukata tikiti za meli hadi Kenya au S. Rhodesia.

    Mkifika Nairobi au Salisbury, riporitini kwa Gavana. The rest shall be history: Aridhi mtapewa na biashara mtafungua.

    Wazungu wengine walikuwa wanapewa haki za kumiliki aridhi miaka 99 na kuzibadilisha kuwa miaka 999! Ni Afrika tu ambako tunagawa bure au tunauza ardhi, mbuga za utalii, madini, na kadhalika, kwa wazungu.

    Nyie watoto wa uhuru msiojua historia, ngoja nirudie:

    Zimbabwe = Jongwe = Pamberi na Chimurenga = A Luta Continua = The Struggle Continues = Mapambano Yanaendelea! Aridhi ya Zimbabwe ni ya Wazimbabwe! If you cannot descern that logic in your pretentious tiny heads - thinking you know better - you have immature heads on imature shoulders!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...