Home
Unlabelled
mama kichaka
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
umeniacha kidogo hebu nitafsirie kidogo mama kichaka una maana gani?eh huyo ni mama hillary clinton au?sie wengine ubongo haukamati
ReplyDeleteHili suala la lugha ya uandishi ndio linafaa lizungumzwe hapa. Michuzi na waandishi wenzako wa vyombo vya habari TZ mnatumia lugha za ajabu ajabu mpaka tunashindwa kuelewa vitu wakati mwingine. Nyinyi ndio kioo cha lugha ya kiswahili mkianza "kichaka" "Newala" sijui nini mwishowe watu wengine wataanza na wao kuandika lugha zao za ajabu ajabu. Tuwe wastaarabu kidogo.
ReplyDeleteNini ambacho huelewi weye,huyo ni mke wa Kichaka a.k.a Bush.Wamependeza kweli.Sasa ungetuambia Clinton hapo alikuwa ansubiri kulipanda jukwaa au ni mlinzi wa huyo mama
ReplyDeleteumenifurahisha sana angalau unatupa mazoezi ya bongo zetu kwa lugha yako nashukuru kwa kunielewesha kwamba kichaka ni bush nimejiona idiot!
ReplyDeleteHongera Musharaf kuwatimua magaidi wakakimbia uchi wa mnyama Pakstani kweupe!!!
ReplyDelete