Home
Unlabelled
bwagamoyo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Waache kupoteza pesa. Hakuna umuhimu wowote wa kujenga Bandari nyingine kwa wakati huu, ya Kurasini inatosha kabisa. Tuelekeze nguvu kwenye mambo ya muhimu zaidi.
ReplyDeleteWasije tu wakabomoa sehemu muhimu za kihistoria Tanzania kwa kisingizio cha bandari. Lakini Bandari ya Dar esalaam ni karibu sana na Bagamoyo kwa bandari kupewa kipaumbele Bagamoyo muda huu. Naamini kuna mambo mengi Bagamoyo ambayo yangefaidika na pesa hii ya bandari katika kipindi hiki
ReplyDeleteni muhimu kuendeleza Mtwara na sio bagamoyo sababu kuu mbili kwanza bagamoyo karibu sana na dar na vilevile bagamoyo sio bandari asilia(yaani natural harbour) kama mtwara
ReplyDeleteHivi mheshimiwa Rais anatokea sehemu gani ya Tanzania?
ReplyDeleteWajerumani na waingereza hawakujenga bandari Bagamoyo. Badala yake walijenga DSM. Walisema pale Bagamoyo maji mafupi (shallow) kwa ajili ya meli kubwa kubwa. Pamekuwa parefu siku hizi?
ReplyDeleteHayo ndiyo mawazo finyu ya watawala wetu. Ujenge bandari Bagamoyo kwa vile tu rais anatoka pale? Bila shaka Rostam Aziz atakapokuja 2015 naye atajenga bandari Igunga. Yaleyale ya mwanafunzi wa Havard (Sumaye Tluway) kutaka kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa Arusha wakati KIA upo na uko under-utilized.
ReplyDelete