jana usiku hasheem thabeet anayecheza basketiboli chuo cha konektikati alitutembelea hapa bukoba

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 25 mpaka sasa

  1. ni mdogo wa gebo pita?

    ReplyDelete
  2. gebo pita ndio nani? huyo anaitwa hasheem thabeet hata majina hayaendani! muwage mnafikiria kabla ya kuuliza!

    ReplyDelete
  3. wanuka vikwaka na midomo sasa mnaona hizi ni sura zetu za wabeba mabox na waosha vizee? Tuko ma University usichulie wachache wasiyo soma ukadhani kila mtu hayupo chuo. Kwa taarifa yako hata wale wasiyo soma wanamaisha matamu kuliko mtu aliye soma bongo ambaye anategemea pesa yake kwa kumkandamiza mtanganyika mwenzake ama hata kuua kama mheshimiwa zombe afisa mzima ana ua ili ajinufaishe yeye na familia yake. Wabongo wenzangu wa tanganyika mkiacha kutoa matusi tuta waheshimu na kuwapenda, lakini unajifanya mjanja wakati kila kitu unaiba ama una ua mwanadamu mwenzako basi ujue kichwani kumejaa pumba. JK anashindwa hata kuwatembelea hapo Mlimani chuo kikuu mnapo andamana kuomba malipo ya kujikimu na matokeyo yake mnaishia kupigwa mabomu, lakini kwa sababu huku vichwa vimetulia ana pozi na sisi kama mshkaji. Mtaniita sana Gebo Peter lakini kesho nitakuwa Air Hakeem!!

    ReplyDelete
  4. Wewe anony wa saa 8:54 mzushi, tumjuavyo Hasheem hawezi toa lugha chafu kama yako, uwe unaandika jina lako acha kuchafua CV za watu. KIJU!

    ReplyDelete
  5. wewe anoy 9:53 Umeanz kujikomba kwangu mimi ndiye niliotoa comments hapo narudia mmezidi kututukana eti mnaniita Gebo Peter?

    ReplyDelete
  6. wewe mtoto hapo juu acha ushamba hasheem hana muda mchafu wa kuingia humu na kuanza kuandika mavi kama unavyofanya wewe.kama anony 9:53AM alivyokuambia tumia jina lako babu acha ushamba.

    ReplyDelete
  7. Hizi comments nimeshtukia hazitoki bongo maana mida hii umeme umekatika kumbe haters wangu wako hapa hapa ughaibuni,jamani kumbe watu wana kikorosho kiasi hiki wengine wananiponda wengine wana mwaga misifa... heee hapo bado sijaingia NBA!!!?

    ReplyDelete
  8. maendeleo si majumba ya magorofa !
    Good luck Hashim, kama unasoma hii, Dont forget to wave our flag when you get there
    Huyu jamma hapo juu mshamba sana hawezi kuwa Hashim

    ReplyDelete
  9. Michuzi,

    Mimi naipenda sana hii blogu , ila matusi na dharau zinazoonyeshwa na baaadhi ya watu kwa kutumia majina ya wengine sinaniudhi sana . Tafadhali jaribu kuwadiscourage hao watu kwa kuondoa message zao kila wanaoandika.

    ReplyDelete
  10. hivi huyu ni mtu mkoja au aneingia kwa majina ya mtu mwingine kila siku ,ulianza na lusajo sasa uko na hasheem hivi ukikaa mwenyewe hata kama hatukujui ujioni kama una utahaira kidogo kutumia majina ya mtu mwingine ili watu waanze kuongea lakini bahati ni kwamba waTZ wengine tuna akili zetu timamu tunaweza kutofautisha ujinga wako na ukweli so toa upuuzi na acha kutumia majina ya watu

    ReplyDelete
  11. Wabongo acheni kutukana inaonyesha hamna shughuli kwakweli. hata kama uko off labda do some man. Angalieni mataifa mengine nani anajali mwingine anafanya nini anafanya wapi uknow iif you are not happy with your life kalale. huna cable ? business ? home work badala ya kutukana how can you make money being on line kumchambua mtu thinkkkkkkkkkkk

    ReplyDelete
  12. huyu kijana ana urefu wa mita ngapi?

    ReplyDelete
  13. Acha Mambo yako wewe, Binadamu hapimwi kwa Mita unadhani Kitambaa hiki!!

    ReplyDelete
  14. kumbe anapimwa kwa vidole!?

    ReplyDelete
  15. Huyu bwana Hasheem tunatakiwa kumpa 5 unajua kucheza Basket college hapa USA ni ngumu sana kuna competition kubwa sana sioni sababu ya kumtolea matusi yasiyo na msingi hasa wengine wanaropoka tu hata hawamjui vizuri. tujaribu kuwa na moya wa kuwa encourage watanzania wenzetu wanapo kuwa wanajituma kufanya kitu kitakacho itangaza Tanzania baadaye, Kama akina Mutombo na Congo, Olojuan Hakim na Nigeria lakini inatia aibu kuona kila mtu anaye fanya vizuri ama kujaribu kufanya kitu kizuri anatukanwa sana kwenye hii blog, sidhani kama hii ni tabia ya watanzania? Unaruhusiwa kum criticise mtu yoyote lakini hakuna haja ya kufanya hivyo makusudi ili aonekane hafai toa criticism za msingi. Kunakuwa hakuna faida ya kutoa matusi inaonekana wewe mtoa matusi huna RAHA NA MAISHA YAKO LAZIMA TU UTAKUWA NA DEPRESSION SASA TAFUTA ANTI DEPRESSION ZITAKUSAIDIA KULIKO KUTOA MATUSI!

    ReplyDelete
  16. sasa wewe Missouri unaharibu. watu hawamshambulii wala hawamkandii hasheem, wanamkandia huyu mtu anayejiita Hasheem na kuharibu jina zuri na sifa nzuri ya kijana wetu mcheza basket ball.
    soma maoni yote ndo uandike jambo

    ReplyDelete
  17. MMH,hahahahaaha!Michuzi you look so Tiny there,yet very smart...i Dig the picture!@@SUZY

    ReplyDelete
  18. kumbe tolu wa kweli kweli yupo! mi nilidhani jamaa wa gazeti la mafinyufinyu alikuwaga analeta ubunifu wake tu. aisee jamaa kapanda. mmh

    ReplyDelete
  19. Hasheem tangaza Tanzania, ila tumia jina lako la Manko (Surname) acha kutukuza waarabu

    ReplyDelete
  20. msenge wewe hapo juu unatiwa matakoni na ndizi ama kibuyu

    ReplyDelete
  21. UNATAKIWA UITWE HASHIM THABIT SIYO HASHEEM THABEET. USIKUBALI KUACHA ASILI YAKO YA KIBONGO NA KUANDIKIWA MAJINA YASIYO KWENYE VYETI VYAKO VYA MSINGI NA SEKONDARI.KUMBUKA UGALI NA KISAMVU NDIO VIMEKUKUZA.

    ReplyDelete
  22. point hiyo kaka/dada.

    ReplyDelete
  23. Si mnaelewa tena anataka kuonekana mmarekani dizain, maana majina ya waislam wa Marekani ndio yanaandikwa vivyo, sasa akijiita Hashim thabiti wadau wakiona tu jina wanajua ni native from africa. acheni tu aandike Hasheem, inaweza ikamsaidia in one way or another kutimiza goals zake. Go Hasheem Thabeet.

    ReplyDelete
  24. AnonymousMay 02, 2008

    Kwa upande wangu, maoni yote mliyo toa hapo juu HAYANA MAANA/MANTIKI. it doesin't make sense kumcriticize mtu anayewatangaza ninyi wenyewe. Tuwe na tabia ya kutoa complement kama mtu amefanya jambo zuri. We love you hasheem, keep it up, do what ever your heart tells you is right. Dont pay attention to people who talk trash about you. Again,Good job Hasheem,i am so proud of you Hasheem. Hope to meet you some day.

    ReplyDelete
  25. AnonymousJune 17, 2010

    jamani kumbe issa michuzi mbilikimo!!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...