jk, hasheema na wadau bukoba

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 27 mpaka sasa

  1. wanuka vikwaka na midomo sasa mnaona hizi ni sura zetu za wabeba mabox na waosha vizee? Tuko ma University usichulie wachache wasiyo soma ukadhani kila mtu hayupo chuo. Kwa taarifa yako hata wale wasiyo soma wanamaisha matamu kuliko mtu aliye soma bongo ambaye anategemea pesa yake kwa kumkandamiza mtanganyika mwenzake ama hata kuua kama mheshimiwa zombe afisa mzima ana ua ili ajinufaishe yeye na familia yake. Wabongo wenzangu wa tanganyika mkiacha kutoa matusi tuta waheshimu na kuwapenda, lakini unajifanya mjanja wakati kila kitu unaiba ama una ua mwanadamu mwenzako basi ujue kichwani kumejaa pumba. JK anashindwa hata kuwatembelea hapo Mlimani chuo kikuu mnapo andamana kuomba malipo ya kujikimu na matokeyo yake mnaishia kupigwa mabomu, lakini kwa sababu huku vichwa vimetulia ana pozi na sisi kama mshkaji.

    ReplyDelete
  2. Anony uliyeandika hapo juu tunajua si Hasheem, acha kuchafua P za watu kwa lugha chafu.
    Lkn hivi huyu wa kwaza c mwanaye Kikwete i.e. Lidhiwan? Inamaana ashaanza kutafuna fedha za Wadanganyika au yuko huko naye?

    ReplyDelete
  3. WE UJUI NDIO ANA ANZA KUMFUNDISHA JINSI YA KUIBA MALI ZETU ILI AKIONDOKA MADARAKANI NAE AWEPO KTK KUNDI LA WALA RUSHWA NA WEZI WA CCM!! YOTE MAISHA SIKU ITAFIKA NA WATAKUJA KUJIBU JINSI MALI YA NCHI ILIVYO TUMIKA.WEZI WAKUBWA.

    ReplyDelete
  4. huyo ni mwenyewe mtoto wa kikwete.alikua UK kama week moja imepita sasa yuko huko.kweli jamani pesa za wanyonge zinamumunywa.

    ReplyDelete
  5. Hizi comments nimeshtukia hazitoki bongo maana mida hii umeme umekatika kule bongo kumbe haters wangu wako hapa hapa ughaibuni,jamani kumbe watu wana kikorosho kiasi hiki wengine wananiponda wengine wana mwaga misifa... heee hapo bado sijaingia NBA!!!?

    ReplyDelete
  6. sijamuelewa michuzi kwa nini kaita USA bukoba ametukuna kidogo wadau wa bukoba
    bongo kila siku umeme hamna du,kwa nini wasitumie umeme wa nguvu za upepo kama wenzao south africa au hata nuclear
    mbongo nje

    ReplyDelete
  7. Ridhwan Kikwete na yeye alikuwa kwenye msafara wa JK?

    ReplyDelete
  8. mtoto wa kikwete mbona yupo katika misafara yote ile baba yake anapokwenda, mara ya kwanza walipokuja states, nae alikuwepo, kikwete hutembea na zaidi ya watu 54 kwenye safari zake, u better believe me !!

    ReplyDelete
  9. mwacheni sasa rais si baba yake na yeye hamjui kuwa yuko kwenye system?,watoto wake wote na mkewe wanaruhusiwa kwenda popote aendako,na wote wana diplomatic passport.

    ReplyDelete
  10. I hold nothing against Hasheem, lakini mlio karibu naye embu mwambieni ajifunze kwenda na mazingira. Katika mjumuiko huo uvaaji gani huo? Anaonekana kama mkora fulani hivi. Inawezekana kabisa hata suruali kavaa kata K.

    ReplyDelete
  11. Kwa gharama za nani Kikwete anasafiri na mwanae?Nadhani anayeingia kwenye expenditure ni mkewe tu ambaye anajulikana kama "first lady".Watoto ambao wana umri wa zaidi ya miaka 18 ni aidha wajilipie wenyewe au wazazi wao walipe.

    ReplyDelete
  12. jamani we anon hapo juu unajua huyo Lizy si anasoma sasa atajilipia vipi inabidi baba yake ambae ni rais wako alipe,so kalipiwa na baba yake kikwete si ana mshahara wake bwana

    ReplyDelete
  13. Baadhi ya watu wana roho za kwanini ile mabya. Hata ingekuwa mimi kama baba yangu ni Rais nitakwenda mahali popote atakapokwenda. Ndiyo faida zake na marupurupu yanayokuja na hiyo kazi. Waacheni watoto wa Rais waenjoy, wakati ni wao.

    ReplyDelete
  14. jk bado mshamba wa madaraka akizoea ataacha kufwatana kama kumbikumbi.benjamini alikua kivyake vyake.sasa huyu mpaka amuulize rizwan kama speech zimekaaa sawa ua vp,riz ndo atoe kibali .kwa hiyo 2mpe mda flani.akikua mwenyewe ataacha.si wa mchukue na miraj?

    ReplyDelete
  15. wewe una enjoy nini? Raia wenzako milioni 33 wana enjoy nini? Hawa watu ni wezi na wala rusha wana haribu pesa za mtanzania aliye masikini bila ata kuwa na huruma. laiti mtoto wake angekuwa mmoja wa mawaziri hapo sawa lakini sio tu kupoteza muda sababu hakuna afanyalo huko!! Anaifanyia nini Tanzania? au ndo ana iongezea madeni na umasikini. Siku itafika na wezi na wala rushwa wote watajuta.

    ReplyDelete
  16. Sasa si afadhali ya huyo JK, kuna nchi zingine maraisi wanawapa watoto wao na uwaziri kabisaa ili wale zaidi, kama EQUATORIAL NEW GUINEA, mtoto wa raisi, ni waziri na mmoja kati ya waafrika matajiri duniani, leo kusafiri naye tu imekuwa issue? JK waziri zaidi ya miaka ishirini sasa, atakosa Paundi 150 au 200 kumpa mwanae apande ndege london hadi new york? lazima tukubali mtoto wa rais lazima apate presidential priviledges siku moja moja jamani, au mnataka na wao waishie kuwa machizi? come on guys, lets get real sometimes!!

    ReplyDelete
  17. Anony wa 7:30 pm, give Hasheem a break man, jamaa bado mwanafunzi hata NBA yenyewe bado, suti za BIG and TALL unajua bei zake? leave the poor kid alone man, well at least for now that he is still in the minor leagues!!

    ReplyDelete
  18. duh wewe mtu uliyetoa oni la mwisho hapaa juu yangu sikubaliani na wewe kusema kuwa eti Hasheem haziwezi suti za Big and Tall sawa ni mwanafunzi, mimi nimemuona mara moja tu alikuwa na rafiki yake mmoja wanafanya shopping alikuja dukani kwangu, kuanzia hela anayospend, simu anazotumia, ana simu 2, na sidhani kulipia bill za simu mbili sio kama unavyonunnua voucher za voda na buzz! kwa suala lako la kusema kuwa hasheem hawezi kununua suti za big and tall sio la kweli kabisa! motot ana hela huyo sijui anazitoa wapi tu!

    ReplyDelete
  19. Ahhh,Ridhiwan mzee wa totoz pale mlimani miaka 2 iliyopita.Kijana umechana sasa na unatumbua tu pesa za wabongo.Kuna notion kwamba watoto wa JK wanasoma shule na vyuo vya bongo hii ni kweli lakini maisha wanayoishi huko mashuleni na vyuoni si mchezo.Ridh analijua hilo kwani pale Hall 6 jamaa alikuwa na room yake ili hali sisi akina yakhe tunabanana mpaka watano room moja.Ni hatari lakini salama.Kamua Ridh......

    ReplyDelete
  20. Jamani naomba msimlaumu JK. Niwape siri, sisi watu wa mikoa ya Pwani hasa PWANI na Morogoro, tu maskini lakini pia tunapenda sana kushare umaskini wetu na wenzetu tulio nao, hivyo pale tunapopata kitu kidogo tunapenda pia kushare na wenzetu, kwa misimgi hiyo pamoja na JK kuwa na haki ya kuongozana na familia yake hata mkija ona na mimi nipo katika msafara wake basi fahamuni hiyo ni jadi yetu, ukoo kote kwa baba na mama nitaacha upande upi? Binamu, shangazi, momba na hata majirani ni ndugu hii imetuathiri sana hivyo naomba msisikitike, ina backgound, huwa hatuachani.

    ReplyDelete
  21. anony wa 7:08 pm , samahani ndugu sikuwa na maana kwamba jamaa yako hasheem yupo choke mbaya, kuna mambo yako wazi, jamaa ni baller, height ndio hiyo, yupo U.conn,ana potential zote za kuwa star baadae, ana scholarship, pia kuna watu wanaitwa ma booster, uliza Le bron na hummer yake au Chris Webber, bado tu unajiuliza maswali, pleaaaaseeeee!!!

    ReplyDelete
  22. Hata huyo hasheem sio mchovu, jamaa ana hummer huyo. sema tu mavazi ni kipaji pia. si unaona hata nba kuna watu wanavaa bila kuwekewa sheria na wangine wanavaa majinzi tu

    ReplyDelete
  23. We anony wa 5:04 na 8:01 hakuna aliyesema mambo ya suti za BIG na TALL hayo ni wewe unayesema. Kuvaa kwa staha hakuhitaji uvae suti. Nilichosema ni kuwa utavaa kulingana na mahali, hapo si wote wamevaa suti, ukiondoa huyo mwenye fulana kubwa kama mwizi wa mayai, uvaaji wa Hasheem unamfanya aonekana kama mhuni fulani. Wenyewe wanasema he looks thugish.

    ReplyDelete
  24. Maoni yenu yote ya kitoto ohoo suti sijui nini!! Profile zenu zinaonesha ni kati ya miaka 20 - 30 na bado hamjakua sababu kwa miaka hiyo mngeweza kuchambua yale ambayo wengine wameyasema yaani matumizi mabaya ya jk kwa familia yake au kuchambua yale yatakayo leta mafanikio ktk nchi yetu. Hacheni akili za kitoto na mtumie technology hii ktk kuweza kuleta maendeleo ya kweli kwa wananchi na Taifa na bila kusahahu kuiuliza serikali juu ya matumizi yake au je huyo mtoto wa Rais anafanya nini hukp wakati hayupo ndani ya serikali.

    ReplyDelete
  25. BWANA EEE WATZ MNAZIDI KUBOA KILA KITU MNA OPINION NINI HASAA? MNAUZI SANA JK KUTEMBEA NA MTOTO WAKE KUNA KOSA GANI? MBONA MARAIS WENGI WANATEMBEA NA WATOTO WAO JAMANI? KAMA ALIVYOSEMA ANONY JUU KWAMBA HAYO NI MARUPURUPU YAKE KUANGUKA MWANZA KUZUNGUKA NCHI NZIMA KUTAFUTA HICHO KITI MWACHENI ALE MAISHA HATA AKIMPELEKA MTOTO WAKE AKASOME POPOTE NI SAWA TU NYIE KAMA BABA ZENU HAWAKUKURUKA KUJENGA STATUS HIZO NDIO OPPORTUNITY KATIKA MAISHA TUMECHOKAA SASA

    ReplyDelete
  26. MZEE PUNCH said...
    Punch...a.k.a Mzee Punch
    Nitamalizia makala hii pale yaforum, ... youngafrican.com/360
    kati ya watu wote kwenye hii picha wengi hawasomi pale Boston, wengi hawana elimu, kati yao na majina yao ni sita (6) tu wana degree, wengine ni wazamia meli, wngine ni wanaishi USA kwa kufanya $ 7 mpaka 11 kwa saa.
    Kikwete ndani ya protocali alitakiwa kuchuja audience, 2% of those people got residence in USA, most of them are illegals, non educated, and never been to any college. UKIMTOA MTOTO WA KIKWETE.

    ReplyDelete
  27. jamani najua watu mmezoea watoto wa wakubwa wanaishi maisha ya kifahari lakini si vizuri pia kushuhudia uongo WE unayejiita JEIKAB SI KWELI kuwa Ridhwan aliishi kama unavyoeleza asilimia 95 ya maelezo yako ni uongo. Pliz kama huna good comment MARUFUKU kuandika uongo. KWA TAARIFA YAKO chumba cha mtu mmoja mlimani ndo chumba kibaya kuliko vyote kipo karibu na choo pia hakuna hata kabati moja infact vilikuwa designed as store. TENA INAELEKEA WEWE SI MWENYEJI MAENEO YA mlimani....UMECHEMKA!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...