WALTER/VONETHA
Change of venue and time:
NOW
SAFARI CLUB
4306 Georgia Ave, NW
Washington DC 20001
Wed: Sept 27th 2006
Time: 4.30pm to 10.00pm
FUNDRAISING GATHERING (HARAMBEE)
WASHINGTON DC METRO
FOR
WALTER MAZULA AND VONETHA NKYA
****************************************************
NDUGU WAPENDWA !!
KWA NIABA YA WAFIWA NA FAMILIA ZAO MNAKARIBISHWA SANA KATIKA MKUSANYIKO MAALUM (HARAMBEE) UTAKAOFANYIKA SIKU YA JUMATANO SEPT 27th 2006 KUANZIA SAA 10.30 JIONI HADI SAA 4 USIKU KATIKA ANUANI HAPO:
MORE INFO:
Yassin: 301-379-0693
Luka: 240-350-5781
LENGO KUU LA MKUSANYIKO HUU NI KUCHANGISHA PESA ILI KUSAIDIA KUWASAFIRISHA NDUGU ZETU WAWILI KWENDA NYUMBANI KUZIKWA NA GHARAMA NYINGINE ZA MSIBA. KUFIKA KWENU NDIO MAFANIKIO YA SHUGHULI HII.
UPATAPO HABARI HII TAFADHALI MJULISHE NA MWENZIO
MUNGU AWAWEKE MAHALI PEMA PEPONI WALTER NA VONETHA
AMEN!!
Change of venue and time:
NOW
SAFARI CLUB
4306 Georgia Ave, NW
Washington DC 20001
Wed: Sept 27th 2006
Time: 4.30pm to 10.00pm
FUNDRAISING GATHERING (HARAMBEE)
WASHINGTON DC METRO
FOR
WALTER MAZULA AND VONETHA NKYA
****************************************************
NDUGU WAPENDWA !!
KWA NIABA YA WAFIWA NA FAMILIA ZAO MNAKARIBISHWA SANA KATIKA MKUSANYIKO MAALUM (HARAMBEE) UTAKAOFANYIKA SIKU YA JUMATANO SEPT 27th 2006 KUANZIA SAA 10.30 JIONI HADI SAA 4 USIKU KATIKA ANUANI HAPO:
MORE INFO:
Yassin: 301-379-0693
Luka: 240-350-5781
LENGO KUU LA MKUSANYIKO HUU NI KUCHANGISHA PESA ILI KUSAIDIA KUWASAFIRISHA NDUGU ZETU WAWILI KWENDA NYUMBANI KUZIKWA NA GHARAMA NYINGINE ZA MSIBA. KUFIKA KWENU NDIO MAFANIKIO YA SHUGHULI HII.
UPATAPO HABARI HII TAFADHALI MJULISHE NA MWENZIO
MUNGU AWAWEKE MAHALI PEMA PEPONI WALTER NA VONETHA
AMEN!!
wazazi wao matajiri sana hawa, tena wanaendesha ndege, si waende kuwachukua. waazime ndege ya JK, waruke kuwachukua.
ReplyDeleteMr Mbegu- newala
kwani yule mazula aliyetekwa nyara akiendesha ndege 1982 ni baba yake mkubwa au mdogo?
ReplyDeleteInawezakana hayo yanayosemwa hapo juu yana ukweli lakini cha msingi kwa sasa tungejishughulisha kwa huu msiba tuachane na utajiri au utekwaji nyara.Anony wa kwanza hata matajiri huwa wanazikwa.
ReplyDeletenyie wabongo sijui mtaambiwa nini ili muelewe gharama za kupeleka miili ni karibia milioni 15($15000)sasa unasema mambo ya utajiri wa kibongo wazazi wa watu wamefiwa unataka watumie hela zote hizo sisi kama marafiki wao tunafanya nini, kama huna chakusema si ukae kimya sisi hapa tutahakikisha tunamrudisha marafiki zetu bila ya kuwatia wazazi wao kwenye majonzi zaidi, tunashukuru lakini kwa muangalio wako mungu awe nawe
ReplyDeleteJamani kuwa na magari mawili na nyumba nzuri si utajiri.Hizo million 15 si pesa ndogo.Wazazi wa watu kwa kweli wanahitaji msaada mkubwa kutoka kwa ndugu na marafiki.
ReplyDeletejamani sisi tunaojua kinachoendelea tusipoteze muda na hawa watu wasiotaka kuonyesha ubinadamu wa mtu kufiwa na kufanya utani hata kama haumjjui mtu kifo ni kifo hakina mwenyewe na wewe unayejidai una maneno una siku yako so keep playin around na vitu vya maana na kusikitisha.
ReplyDeleteSisi tutahakikisha kwamba tunapata hela za kuwarudisha hawa ndugu zetu bila ya kuwatia wazazi wa watu kwenye pressure zaidi, ndio maana ya kuwa na marafiki kama hatuwezi kuwasaidia sasa hivi tutafanya hivyo lini tena na kwa jambo kubwa gani zaidi, kama ni mtanzania na binadamu mwenye roho ya kibinadamu utaelewa
JACK PEMBA HUU NDIYO WAKATI MUAFAKA WA WEWE KUSAIDIA SIYO UNAMWAGA DOLLAR KWA MISS TANZANIA KWA SABABU UNATAKA URODA SAIDIA HATA KWENYE MISIBA KAMA KWELI WEWE NI MTU WA KUSAIDIA NA UNAJIDAI NI MPENDA WATANZANIA.
ReplyDeleteMuaji Mohamed Mustapha Mbelwa alikuwa na bifu na marehemu Mazula tokea Texas. Mbelwa alikuwa mpenzi wa ile sinema ya kikatili SCARFACE. Mle watu wanakufa kwa kuchomwa kisu maiti zinachomwa moto na watu wanauliwa kwa kupigwa risasi nyingi. Mtafute Mbelwa Jumamosi atakuwa Chicago kwenye Kalenda pati.
ReplyDeletetuna uchungu lakini isije ikawa biashara $20,000 ni maisha bongo.
ReplyDelete