nimefurahishwa sana na mwanga wa taa kwenye kumbi za newala kwani huhitaji kutumia flashi hata kama wangekuwa wanaruhusu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Ni kweli, bwana wale wagangwe walimpasha Kichaka na mwenzake wa uingereza, naona hao magangwe hawataki kuburuzwa na marekani. Lakini unajua wale kiburi wanacho kwa ajili ya mafuta.......

    ReplyDelete
  2. bwana kweli hawa waarabu hawaogopi kbs marekani na her partner in crime( uingereza)maaana wanajua hela wanazo za kuendesha nchi na mafuta mengi ya kutosha ambayo wenyewe(hawa majambazi wawili) pia wanayataka. sasa we niambie Kikwete awaseme ovyo, mbona tutakufa, maana tutageuka zimbabwe sasa hivi,kweli umaskini mbaya, inabidi ufuate kila kinachosemwa na wakuu wako, ndio maana tatazidi kua maskini

    ReplyDelete
  3. Naona Musharaf kitabu chake kiko madukani tayari.Nasubiri cha JK siku moja.Hivi Mkapa aliandika kitabu chochote?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...