raisi wa kwanza mwanamke mwafrika

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Da Mijaaa....!

    ReplyDelete
  2. Wanasema kachukua nafasi ya George Weah kwenye huo urais. Hata kama George Weah angeshinda angefanya nini la maana Liberia? Labda angeipeleka Liberia World Cup. Si mnamuona Kikwete anavyo babaika, hajui afanye nini, lilobakia akazanie Taifa Stars iende kombe la Africa.

    ReplyDelete
  3. Huyo ni president wa Liberia mwanamama Hellen Serlief.Bado anahitaji muda kuweza kujua makeke yake katika kuinyanyua Liberia yake.Kaza buti mama.Michuzi hujajua atakuja lini Tz huyu mama.

    ReplyDelete
  4. Mambo ya Hellen yametulua. Lakini inaonekana antumia muda mwingi Saloon! sijui anafanya kazi saa ngapi. La cheki alivyo

    ReplyDelete
  5. President Ellen Johnson-Sirleaf of Liberia.

    Akina Mama Juu! Juu! Juu Zaidi!

    Wanawake tujivunie kuwa Afrika kuna Rais mwanamke. Watu walisema isingeweza kutokea lakini imetokea.

    Akina Mama Oyee! Na Tanzania tutakuwa na rais mwanamke siku moja.

    ReplyDelete
  6. Jamani makubwa!! Huyu mama hakuchaguliwa kuwa Raisi wa Liberia kwa sababu ni mwanamke huu ni udhalilishaji wa hali ya juu. Alichaguliwa kwa sababu kichwa chake kinafanya kazi na uwezo anao. Wale mnaodhani mtu anaweza chaguliwa sababu ni mwanamke walie tu after all wanaume wanaogopa ukimwi hawana mpango wa kumchagua mtu kwa kuwa ni mwanamke tu!!!!hakuna cha wanawake juu wala wanaume juu! Ni uwezo wa mtu juu,juu zaidi!! Yazidiyo hayo yatoka kwa yule mwovu shetani au shwaitani ukipenda.

    ReplyDelete
  7. Mwanamke hawezi kuwa juu hata siku moja hata sheria maumbile zinakataa.Huyu mama ni kichwa sana ndiyo maana amechaguliwa. Tz ni kweli wakati utafika kuwa na kiongozi wa aina hii na siyo mbali pengine awamu ijayo lakini kigezo hakitakuwa uanawake bali kichwa na uwezo wa kuongoza.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...