Home
Unlabelled
mkwara
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hawa watu hawajui chochote lakini hawashindwi na jambo. Ndo maana mambo hayaendi mbele.
ReplyDeleteHao jamaa ni "Fanya Fujo Uone" Kweli! Hawana mchezo!
ReplyDeleteKuna siku waislamu wenye hasira waliandamana nje ya mahakama ya Kisutu kwa vile jamaa alifungwa shauri ya kuchoma moto bucha ya nguruwe Manzese. Basi Kisutu court iko karibu na Daily News. FFU wakaja na mafarasi pia! Nyie! Watu walikimbizwa na wengine walifungwa ndani ya canteen ya Rweikiza! Halafu walifyatua tear gas! Walizuia watu kutoka njea ya jengo ya Printpak/Daily News kwa muda pia. Tulikoma siku hiyo!