uzuri wa hawa jamaa huwa wanapiga mkwara kwanza kabla ya kuanza shughuli. ukibisha...lwako! mi simo...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. hawa watu hawajui chochote lakini hawashindwi na jambo. Ndo maana mambo hayaendi mbele.

    ReplyDelete
  2. Hao jamaa ni "Fanya Fujo Uone" Kweli! Hawana mchezo!

    Kuna siku waislamu wenye hasira waliandamana nje ya mahakama ya Kisutu kwa vile jamaa alifungwa shauri ya kuchoma moto bucha ya nguruwe Manzese. Basi Kisutu court iko karibu na Daily News. FFU wakaja na mafarasi pia! Nyie! Watu walikimbizwa na wengine walifungwa ndani ya canteen ya Rweikiza! Halafu walifyatua tear gas! Walizuia watu kutoka njea ya jengo ya Printpak/Daily News kwa muda pia. Tulikoma siku hiyo!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...