Home
Unlabelled
nyu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kwa mlioko ughaibuni, huyo kijana msitari wa nyuma - suti na tai ya goldi- ndo Johnson Lukaza. Mtoto ana hela kama serikali! najuawatu wataanza nzao za kuponda tu! Lakini ukweli ni kwamba dogo ame-wini!
ReplyDeleteSasa ana hela sisi tufanyeje ? au wewe mkewe?
ReplyDeleteMbona dewji hujamtaja wewe
ReplyDeletehuo ukike pesa za mtu mwingine sisi zinatuhusu nini na wewe nani wake wa kutuambia
ReplyDeleteWatu wengine, au ndio unatarajia atakukumbuka kwa sababu umemsifia? Michuzi kweli ni Kikwete aliyekuwa anahutubia hapa? Mbona hatumuoni. Halafu alitumia lugha gani maana siyo siri Rais wetu hajui kimombo.
ReplyDeleteLukaza hana hela wala lolote,baba yake ndio alikuwa na kiwanda cha unga cha chapa jogoo,kikafilisika na sasa hivi Johnson ni misheni town tu..anauza magari pale mtaa Lumumba.Amepanga kanyumba fulani pale pale mitaa ya Kariakoo.Maisha bwana.Hawa ndio wale waliovuma sana enzi za Mwinyi halafu wakachoka mbaya.
ReplyDeleteWewe Anon wa 5.36 you either trying to be sarcastic, or you absolutely have no clue what you are talking about!!!
ReplyDeleteWewe anon wa 5:50 si useme basi anon wa 5:36 kapotosha wapi? Nadhani fact za hapo juu zina ukweli.Mimi huyu Johnson aliwahi kuniuzia mtumba wa gari pale Lumumba anapopaongelea anon wa 5:36.Hiyo ilikuwa mwaka jana.Sasa kama kwa kipindi cha mwaka mmoja huyu bwana amekuwa bilionea basi itabidi tume iundwe.
ReplyDeleteFor starter, "Chapa Jogoo" haikuwa ya baba wa Johnson, but HIS BROTHER. 2nd, mambo ya kutapeliana mitumba, gari and what not is irrelevant! Unda tume yako Anon wa 6.51PM, fact of the matter is, Johnson is LOADED, you best believe that!
ReplyDeletecome on wabongo mbona mnajadili mambo ya ajabu sasa who cares what huku marekani watu wanakaa na kufanya kazi na watu wenye hela za ukweli u c there cars nyumba unasafisha macho and u move on lookin for yours who care about what the next person got, haya nikiwaambia ana kijidudu cha inchi 5 anzeni basi kujadili hilo
ReplyDeleteAcheni mambo ya kisenge Kumanina zenu!!!!pesa za mtu mwingine nyie mnabaki kubishana bishana tu ...!! Tafuteni za kwenu!!! or shut da fuck up!!! sill twatsssssssssss
ReplyDeleteAcha usenge wewe kumanina zako. Mbona mnawaongelea kina Bill Gates na wengineo, pesa zao zinawahusu nini, kenge nyie. Tuelezani Lukaza anafanya nini, naweza nikafabya nae legitimate deals.
ReplyDeleteAcha usenge wewe kumanina zako. Sasas kama watu wana pesa kwanini wasizungumzwe? Achani vikorosho vyenu. Mbona dunia inaongelea bilionea wakwanza ni nani na wa pili, na wengineo? Leo kazungumzwa Lukaza inakuwa tabu? Huu ni wivu wenu nyie wabongo, wivu usio na maana.
ReplyDeleteLukaza ana hela ya kubadili mboga,period.
ReplyDeleteNyie mnaosifia hela za wanaume wenzenu kuweni makini...mtaolewa hivihivi!!! Halafu wewe fala anonymous wa 4.32 koma kabisa kuattribute "ukike" na mambo ya kisenge, shenzi mkubwa wewe!
ReplyDeleteJifunzeni lugha nzuri website hii ipo chini ya ufundi kila kitu kitakapo kamilika kutakuwa na uwezo wa ku-bann ip address za kila mmoja wenu na kushindwa kuchangia tena iwe unatuma anony, jina la blog,n.k. ustaharabu ni kitu cha bure na sio lazima uende shule.Nadhani mtapata intro. kidogo.
ReplyDeletekwani michuzi tume yako haijaanza kazi? au imeprove FAILURE? naomba jibu tafadhali
ReplyDeleteAmbaye anapesa amesaidia wangapi tanzania hili nao wajikomboe. Jibu hakuna kwahiyo pesa inamsaidia yeye na hakuna haja ya kusema hilo.
ReplyDeleteWezi wa mabenk nao mnawaita wana Feza? Mpeni muda huyo millioner wenu kwani za mwizi ni arobaini ndo mtaelewa namaanisha nini "wezi wa fedha za bank". Siri yake tunaijua na wameshamshtukia bado kumtia kizimbani kama wale wenzake japokuwa yeye wizi wake ni wa kimataifa na bongo ndo kaanza kuufanya yeye na wajanja wachache. mabank kaeni chonjo mtu huyu hatari.
ReplyDeleteTRA mpo? huyu millioner Jonhson Lukaza anabiashara gani na analipa kodi kama kawaida au ndo wakwepa ushuru hao? Ni muda mfupi sana kwa mtu aliyekuwa amefilisika na within 5yrs anaitwa Millioner. watanzania kuweni macho na watu kama hawa kuna uongo ndani yake. Yaliyosemwa hapo juu huenda ni kweli sisi tuliombali na Bongo hatujui kinachoendelea huko.
ReplyDeletekweli michuzi unatufanya watoto huku hauweki vitu vya maana watu kudiscuss ndio maana tunaishia kusoma mambo ya watu wenye milioni za shilingi ukiziweka kwenye dollar zinarudi back to thousands then mnataka tupoteze muda kwao, kwa anony 10.56 na 11.03 nyie mijinga watu watu wanazungumzia hela za Gates and them coz thats the envy u can have to have billions in dollars and if u set your goals to that hata ukiishia kwenye million in dollars u still will b succesful sasa hili fala lenye hela za vichenji who envys them kama wewe unaset goals zako kwa kuangalia watu kama hao pole sana, kwa kidosho anayelalamika kuuita huu Ukike then wmenyewe anasema " nyie mtaolewa" pumbavu wewe huone kwamba na wewe una rudi kule kule kwamba hiyo ni tabia ya kike so kaa kimya na kijisafishe naniii yako na acha wanaume waongee huku
ReplyDeletepEACE
we anony wa 1.28 kwa nini mnapoteza muda wenu kutisha vitu visivyo practically posible, I dont know where u at but kwa kifupi hata ukizui mtu kutuma kutoka kwenye comp moja mayb uko bongo but huku accessibility ya comp ni rahisi kiasi kwamba there is no way utapoteza muda kublock kila mtu anapotukana mashuleni library ziko na comp mia kidogo, makazini, public library, supermarkets, comp stores zote hizo ni sehemu mtu anaweza kwenda na kuingia kwenye net hata ukizui ya nyumbani kwake sasa niambie how uta fuata hiyo list yote, so kwa ushauri tu badala ya kupoteza muda kushughulikia kitu ambacho i dont even know kama mnaweza just mshauri michuzi hii blog iwekwe na vitu watu wanavyoweza kuchangia vya maana as u already see watanzania wanaingia huku sana tu na kama unavyotujua tuna taka kusema kitu hata kama hatuna cha kusema
ReplyDeletepEACE
jamani katika hiyo picha mbina wenye hela zao ni wengi??? lakini naona mmemshikiria muhaya wa watu tu!!! kama pesa ni ya uharari johnson u deserve credit bro!! lakini kama ni hayo ma bank yanayosemwa hapo juu siku zako ni 99 lakini za mwenye nacho ni siku 1 tu.....!! good luck
ReplyDeletem
ReplyDeletejohnson lukaza johnson lukaza,jamani mwenzenu ndio ameshawin,sasa badala ya nyie kujichanganya kutafuta maendeleo mnaumiza kichwa kuwa kafanya nini poleni maaaana mwenzenu ndio anapeta tu!inabidi na sisi tuchangamke sio kutafakari ya mwenzetu
ReplyDeleteAnother st**** id****, eti huyo ana hela, aliyekuambia hajui kutafuta hela nani? Au hana mshahara ni na nani? Au anayetaka hela za kutoa k*** ni nani? Wewe mhaya asiyesoma nini? Au wale ....Unabahati michuzi kakataza matusi.
ReplyDeletewewe kama una hela basi nyamaza fanya maendeleo basi tuyaone tukusifie maana sio kuongea ongea tu!inabidi mkubali matokeo eeee!
ReplyDeleteWatanzania kwa kweli they never cease to amaze me.
ReplyDeleteI went through hii Blog ya Michuzi katika kila picha lazima kuna comment za kumbondea mtu tena kwa matusi ya nguoni kabisa.Last week imewekwa picha ya Cynthia watu wakaingia and called her so many names that she is a whore blah blah blah,Besides Cynthis leo hii watu wanadiriki hatammaliza hata raisi wao the thing is baada ya kum-appraise raisi wao wana mshusha chini eti raisi hajui english sasa wewe unayejua kwa nini usi-take time ya kwenda kumfundisha 102 or speech class? kisa eti umekuja ulaya na kimombo chako cha kuombea maji basi unajiona eeh umesoma.Matter of fact i learne dthis to watanzania kiongea Jayz na ebonic yake ndiyo mnamuona anajua english while what he speaks ni broken english no wonder you all mnaiga kuongea slang wakati mnachekesha umati tuu....Leo hii Johnson Lukaza wa tu hajafanya kitu chochote na wala hana hiana na mtu..besides hajamtambishia mtu yeyote yule kuwa yeye sasa ni millionea.Lakini here we go Greasing all ove rhis face kwa kumtolea kashfa.
My thing is tutaelimika lini?.
You all need to handle yours for really.
ninakuunga mkono anony wa9:46pm.
ReplyDeleteyaani wabongo ni wa waajabu sana nimeshangaa kumsanifu hata rais wetu hawa watu sijui vipi!tusiwe hivyo jamani!tuwe na maendeleo jamani sio kuongeaongea tu tuchangamke sio kuongea ya watu haisaidii!tutabakia nyuma tu kwa kuwaza ya watu
michuzi vp mbona maoni yangu hayatokei???/halafu wala situmii lugha chafu kbs,ndio maana inanishangaza. maana kuna maoni nilitoa kwenye ile picha ja Rais alipokea kwenye uwanja wa real madrid sijaiona na nyingine kwenye hii picha pia sijaiona. au kuna kitu nakosea?
ReplyDeleteMsilalamike sana unajua ukiwa kiongozi wa nchi kama tanzania ndio utaona jinsi ulivyo na kazi ngumu sana.
ReplyDeleteMawazo yanayotolewa wengine tunayasoma sana utagundua ni kwa nini hata ukiwa raisi mzuri namna gani utapata wakati mugumu kuendeleza jamii ya kitanzania.
Wanasema kunahitajika moyo. wakati mwingine hili jamii kama tanzania ziendelee tunahitaji kuwa na mtu akawa dictator. Akisha ona njia yeye anachofanya ni kuburuza wengine wafuate.
Ndio maana mwalimu kuna kipindi aliamulisha makatibu kata kuchapa watu viboko. wakati mwingine inabidi tuchapane viboko. kisa watu hawataki maendeleo. Mwalimu aliagiza makatibu kata wachape watu viboko ambao hawataki kwenda kulima chakula ambacho watakula wao. Huu ni mfano mmojawapo. Hili watanzania wabadilike vichwani hatuna budi kuchapana viboko kulazimishana kuleta maendeleo.
Watu wengi hawana cha kuongea ni bora unyamaze maana ukiruwa kazini kama unayo kazi ni matatizo ukiwa nyumbani ndio kabisa.
ReplyDeletekEEP IT UP KIJANA!! HII HIYO INAONYESHA UNAFANYA SOMETHING TO BE ADMIRED, BUT WATU HAWATAKI KUWA WAPOLE KUADMIT!!! BUT KEEP INVESTING WISELY SO AS USIRUDI ULIKOTOKA!! AS YOU KNOW IT IS ALWAYS A CHALLENGE TO MAINTAIN WHAT YO HAVE ACHIEVED!!!ESPECIALLY KWENYE
ReplyDeletehuyu mtoto kwenye mstariwambele ni nani? anonekana poa sana
ReplyDeleteHAHAHAHAHA? WABONGO YOU NEVER CEASE TO AMAZE THE WORLD. KAMA INDIVIDUAL KAMA JOHNSON LUKAZA ANAWEZA KUWASHTUA SASA TUNGEKUWA NA ANNUAL LIST YA THE RICHEST PEOPLE IN TANZANIA OR EAST AFRICA OR THE HIGHEST PAID TAX INDIVIDUALS SI MTA DATA? WATANZANIA WENZANGU BAADALA YA KUKAA NA KUMJADILI KIJANA WA WATU SI MKAJITAFUTIE DUNIA ITAWAPITA HIVI HIVI? MWENZENU KAMA ANGEKUWA HALIPI USHURU AMA TAPELI ANGEENDA KUMSIKILIZA RAIS NEW YORK TUMIENI AKILI, USIONE MTU ANA HUSTLE LUMUMBA LEO UKAFIKIRIA NDIO MWISHO HAPO, YOU HAVE TO THINK BIG TO MAKE IT BIG NIGGAZ? SO TO MY FELLOW TANZANIANS MAKIN IT BIG ON THE GRIND 24/7 BIG UP ONE LOVE? NA WALE WAKUCHONGA NA MATUSI KWENYE MTANDAO NAWAAMBIA ENDELEENI KUCHONGA WAACHE VIJANA WAKAZI TUFANYE KAZI?
ReplyDeleteJ lukaza, That,s my boy. Nyinyi wa TZ mnatuchekesha sana. The guy got dough. End of Story. My zake in Kenya works with him hand in hand. Just be happy for one of your own. Dont hate. Us kenyans are happy for the Guy. Go j.
ReplyDeleteubaya wenu watanzaia ni uzebe (laziness)na "ah hakuna haraka mjoba" ndio maana Kikwete achukia chap chap Kenyans. Kwa nini hataki wafanye biashara kwake hivi wauzaji wote wa mitumba Kenya ni wana bongo
ReplyDeletePlease correct the English grammar on that blue line that's flashing up there.
ReplyDeleteIts supposed to read "THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY TIGO THE LEADING MOBILE COMPANY IN TANZANIA THAT VALUES AND LISTENS TO CUSTOMERS."
Not "THAT VALUE AND LISTEN TO CUSTOMERS"
That's wrong use of English grammar.
You can only say "That value and listen to customers" if you use the word "COMPANIES" (prural), not "COMPANY" singular.
by Mkenya harisi
Nakukosoa wewe mkenya halisi, umelikoroga mwenyewe na utalinywa...
ReplyDeleteKwanza ni plural na sio prural
Halafu ni halisi na sio harisi...
Unakosoa? mwenyewe makosa kibao....mara zote ukinyooshea mtu kidole tazama vidole vyako ninne vimekunyooshea wewe...
Michuzi post comment yangu maana nawe kwa kubania hujambo...
Mtanzania halisi.