nakaribisha mdau mpya (mwenye suti) kwenye klabu cha issamichuzi.blogspot leo hotelini kwangu newala

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. Huyo demu ni wa nani Michuzi,wa kwako au wa kwake?Kumbuka umeacha familia huku mzee,jali!!!

    ReplyDelete
  2. eti hotelini kwangu, mnakula pesa za watanzania kijinga kijinga tu kwa nini msikae katika balozi yetu. kama hamna nafasi kwa nini msijenge kuondoa upotezi wa pesa za kila siku. Nina uhakika michuzi hauna pesa za kulipa hiyo hotel na ni pesa zetu sisi wanyonge na masikini tunakulipia hapo.

    ReplyDelete
  3. huyo ni demu wa huyo jamaa mrefu, kwa hiyo chunga adabu yako..

    ReplyDelete
  4. demu gani huyo wa kujitambia sasa, anyway Michuzi wanaume hawakenui meno hivyo jamani mapozi gani hayo funga mdomo smile

    ReplyDelete
  5. Huyo dada anaonekana kama MODEL.

    ReplyDelete
  6. Michuzi, sasa Cynthia Masasi miadi yenu ya kumpiga miti ndiyo imekufa kifo cha mende, aui? Maana moto ulikuwa mkali hadi ukaamua kubandua ile picha ya leo.

    ReplyDelete
  7. wewe CM hater naona ni wale mastalker

    ReplyDelete
  8. Mamaaaa! Wewe anonymous 6.18 usintie hasira! Unawajua models kweli wewe? Demu gani huyo "migulu baja?" Miguu ya Kichaga hiyo unafananisha na models? Nyoooooo!

    ReplyDelete
  9. mijitu mingine, eti mtu anashangaa Michuzi kukaa kwenye hoteli kama hii. Nyie endeleeni kubeba maboksi wakati wenzenu wanakwenda shule.

    ReplyDelete
  10. wewe unayesema miguu ya demu mibaya wakati hujawahi kupata demu tokea umekuja mtoni, kabebe boksi huko na ulipe bills zako on time.

    ReplyDelete
  11. Michuzi wale watoto wanakufa kule sasa hivi na wakina mama Tanzania ni kwa sababu wewe mmoja wapo unayetumia hela zao, hela zao hizooo za misaada!

    ReplyDelete
  12. mhh we cinthia hataer nahisi ulipewa kuma alafu ghafla ukamwagwa huku bado unataka.inaonekana ni sakapokoooo.(njaa)alafu lazma utakua unanuka nuka mdomo na pumbu!huwezi kumganda mtoto wa mwenzio hivyo!
    Puhleeeese!

    ReplyDelete
  13. huyo demu namjua alikuaga Miss Jamaica.

    ReplyDelete
  14. We wacha uongo wa kumpakazia, jirani yangu huyo hakuwa miss Jamaica wala nini. Kwani lazima mseme tu hata kama mtu hamjui?

    ReplyDelete
  15. Huyo demu Modesta Kairuki hajawahi kuwa Miss Jamaica acheni uzushi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...