NIMEARIFIWA NA KAMATI YA MSIBA WA WALTER NA VONETHA HUKU UGHAIUBUNI KWAMBA ANUANI YA AKAUNTI YA BENKI YA MWANZO ILIKUWA NA MUSHKELI KIDOGO. HIVYO WASAMARIA WEMA MNAOMBWA MTUMIE HII HAPA CHINI NA KWA MAELEZO ZAIDI CHINI HAPA KUNA NAMBA ZA SIMU NA MAJINA.

KAMATI PIA INATOA SHUKRANI NYINGI SANA KWA JINSI WABONGO TULIVYOJITOKEZA KUSAIDIA KATIKA WAKATI HUU MGUMU. KAMATI INATOA ASANTE KWA MISAADA YA HALI NA MALI ILIYOTUMWA NA INAYOENDELEA KUTUMWA.

BWANA AWE NANYI NYOTE KATIKA WAKATI HUU MGUMU




Walter Mazula & Vonetha Nkya Trust Fund
TCF National Bank
Account Number: 6869101756
Route Number: 291070001

On behalf of the families and Tanzanian community in Michigan I would like thank each and every one of you for your highly needed support.

If you have any question Please call

Ayub Mfinanga - Michigan: (586) 354 5479
Brian Mazula - Michigan: (248) 730 0249


Belinda Nkya (443) 600-2135
Dassu Mussa - Ohio: (614) 256 1107


Jimmy - Minnesota: (952) 393 9254
Rahma Baraka (443) 621-1683

May Lord rest their soul in eternal Peace.
In sadness,

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. Michuzi,
    Ingekuwa kila mtanzania anapofariki ughaibuni masuala yanachangamkiwa hivi ingekuwa safi sana.Pamoja na kwamba najua uchungu wa wafiwa wakiwemo ndugu,jamaa na marafiki nadhani msiba huu unapewa kipaumbele kwa sababu ya "jina la marehemu,au baba yake".Bila ubishi huu ni ubaguzi.Wangapi wamekufa huku na tusisikie mvumo tunaousikia sasa hivi? Mbona sikuwahi kusikia dau la kumpata muuaji wa Ray Kapalata kwa mfano likiongezwa na watanzania kutoka sijui dola ngapi mpaka ngapi? Watanzania wangapi wanakufa kila siku kwa mtutu wa bunduki,kunyongwa nk? Kama sisi watanzania tuna umoja,tunapendana basi pasiwe na chembe za ubaguzi.

    Tumesikia hata serikali imeingia some gharama za kusafirisha miili.Eti kwa sababu baba wa marehemu mmojawapo amekuwa mwajiriwa wa serikali kwa muda mrefu.Kama habari hizi ni za kweli,basi JK na wenzake wajue wanafanya makosa na kuunda sumu mbaya kwani kesho na keshokutwa kila mtu atakuwa anastahili same treatment.
    Mungu azilaze roho za marehemu pema peponi lakini tukumbuke kwamba binadamu wote ni sawa.

    ReplyDelete
  2. Sio kweli kwamba serikali imeingia kuchukua hatua yeyote atleast not yet, na sio kweli kwamba tunashughulikia kwa ajili ya jina, labda mwenzangu hauko huku lakini huwa tunachanga kwa shughuli yoyote ile ya furaha au msiba japo huwa inakuwa haisikiki, kwa mfano wakati wa msiba wa marehemu Ray Kapalata tulichanga na cha kusikitisha zaidi huku Detroit mwenye kukusanya hiyo michango na kuhimiza watu wasaidie alikuwa ni marehemu Walter kama alivyokuwa kwenye msitari wa mbele kwenye shughuli zozote za kusaidia.

    Kwa kuongezea tu ni kwamba watu wengi wanaomjua tunajua jinsi mshikaji alivyo kuwa mtu poa ndio maana kila siku watu wanasema ishi vizuri na watu na watu watakuwepo kukusaidia unapopata na shida so hii ni matokeo ya jinsi marehemu alivyokuwa anaishi na watu, na ni ukweli kwamba watu wote ni sawa na tutakuwepo kumsaidia mtu mwingine akiwa na shida yake lakini hii iko sasa. Pamoja na hiyo mara nyingi watu wanafiwa na watu wakiwa nyumbani lakini hii imetokea huku na wanaitajika kurudishwa nyumbani kwa hiyo mwenzangu niambie unataka tuanze kuambiana jinsi watu wasivyofanya hivi kila siku mtu azikwe huku ama,
    Kutoa ni moyo kama unajisikia kutoa feel free if not huna haja ya kutaja mambo mengine just dont do it
    pEACE

    ReplyDelete
  3. Well ni poa kutoa kilicho moyoni mwako lakini toa kwa usahihisho basi. Kwanza sio kweli serikali imetoa chochote, mbili sio kwamba watu wanakufa kila siku huku bila kuchangiwa, bila kuchangiana tutazikwa hukuhuku jamani hizi gharama za mamilioni ni wangapi tutaziweza.
    Jambo moja ambalo tunafurahia na kumshukuru mungu ni kwamba angalau watanzania huku tunaushiriakiano kwa hiyo badala ya kusema hayo maneno tuseme angalau kwamba tuzidishe huu uhusiano, na kuwa na blogs kama hizi ndio zinasaidia kwa hiyo tuongeze huu ushirikiano tu na ndugu yangu kama vipi taja kwa watu unapopata matatizo kama watu hawajui huwezi kuwalalmikia wasipo shiriki.

    ReplyDelete
  4. Nimefurahishwa sana na busara zako wewe ndugu hapo juu na kweli cheka na watu uvae viatu. huu ni Msiba wa Mtz yoyote popote alipo na umeshtusha watu wengi wawe watoto wa nani kifo ni kifo kinauma kinachotakiwa sasa ni kuwa na umoja na kuwastiri hawa ndugu zetu wawili waende kwa amani na mungu awapokee.Amin

    ReplyDelete
  5. Kiutanzania maswala ya msiba hayaunganishwi na kuwa mtu alikuwa na mali gani.Haya ni maombolezo.Halafu ni ukweli watu wengi wamefariki ughaibuni bila watu wengi kujua.Halafu najua watu wengi ambao wamejua kuhusu hili jambo kupitia katika blog hii na njia hizi nyingine za habari ambazo ni mpya sasa hivi.Au hazikuwa nawafuatiliaji wengi zamani. Watu wanaojiuliza kuwa kwa nini hii habari inajulikana na watu wengi wasifikirie tu ni kwasababu ya familia waliyotokea kwa maana watu wengi waombolezao hatahawawajui wahusika moja kwa moja. Tusianze kuanza kutafuta sababu zisizo za msingi. Halazimishwi mtu kuchangia hivyo ,hakuna haja ya kuanza kulalamikia michango ambayo kama mlalamikaji ushajua huchangii.Hakuna haja ya kuanza kubuni mambo kama hujui ukweli.

    ReplyDelete
  6. tuna uchungu lakini isije ikawa biashara £20,000 ni maisha bongo.

    ReplyDelete
  7. anony wa 11:11 AM kama walivyosema watu wengi hapo juu, ikiwa unajisikia kutoa mchango kiukweli kabisa toa la sivyo kaa pembeni waachie wenye moyo wa kweli waende kwa mbele, inasikitisha sana kwamba katika wakati kama huu mtu unaweza ukafikiria au kuhoji kitu kama hicho, kutokana na sentensi yako inaonekana hauko sehemu yoyote nje ya nyumbani(Tanzania) ingekuwa ni hivyo wala usingethubutu hata kufikiria hivyo.

    ReplyDelete
  8. Ni kawaida yetu wanadamu kwamba mtu akisha aga dunia basi sifa kemkem humwendea yeye.Naona marehemu Walter mmempamba kwelikweli.Katika msiba wa Kaparata mnasema yeye ndiye aliyekuwa mkusanyaji mkuu huko Detroit?Kama ni kweli basi tujitahidi kutoa michango kwa hali na mali.

    ReplyDelete
  9. Kwako anony wa 7:29pm, sijui hasa lengo lako ni nini, lakini kauli zako za tasnifa unaweza kuziweka pembeni kwa sasa hivi, jamani huu ni msiba kama una mambo yako binafsi aidha subiri baadae au jitahidi usitoe maoni humu kama huna la maana la kusema, au nenda kwenye picha zingine za kawaida toa pumba zako utakavyo, tukana ukijisikia, kama ilivyo kawaida yenu, hapa waacheni watu wenye akili timamu walioguswa kikweli na misiba hii.

    ReplyDelete
  10. We mtu unayesema huu msiba unatangazwa sana kwa ajli ya jina la marehemu au kuwa amepambwa na sifa kisa amekufa tunaomba ujiheshimu. Kwa taarifa yako hizo sifa ndio zake alikuwa nazo, sio kwasababu ni marehemu ndio anapewa hizo sifa. Na pili, kifo hakichagui jina. Watu wanakufa huku na kuchangiwa all the time. Mbona wale ndugu wawili waliokufa Houston miezi ya nyuma walichangiwa karibu $60,000 kutoka kwa waTZ wa Houston na wengine wote wa Marekani haikuwa tabu!! Kwani wale baba yao alikuwa Raisi au?? Jamani, tunaomba muangalie maneno ya kusema, watu bado tuna uchungu na marehemu wetu na tuko katika maandalizi ya kuwapeleka nyumbani ili wakapumzike salama. Hakuna mtu anayelazimishwa kutoa mchango, wewe kama hutaki usitoe.. PLEASE

    RIP Walter and Vonetha

    ReplyDelete
  11. To all talking Trash:

    ...Pigeni magoti Mumuombe The LORD ALMIGHTY radhi because you just dont know what may come your way.Siamini some people can be so meaaaaaaaaaaan, so nastyyyy Good LORD!!!! How can people really think so low at this time.Nasema Nawaombeeni Mungu awasaidie maana roho zenu si tofauti na wauaji if y'all be thinking so ill about this situation.MONEY? eti biashara bongo...mara because of Majina...Hamjalazimishwa kutoa mchango mmeombwa kaama it aint in yo heart then please leave it to Those That God has put in they heart to help.Ila Kila mtu anasiku yake....Leo ni ya Marehemu Walter na Vonetha...Kesho Mimi,Keshokutwa wewe...and Guess what??God is still Going put it in somebodys heart to contribute for Me,you,anyone just incase our time comes.So wat what y'all is saying....it will comeback to you one day.

    To all those Hurting and helping at this time,God will Repay you and God Bless y'all and y'all families.

    ReplyDelete
  12. mimi kitu ningesema ni jamani please kashfa hazihitajiki na believe watu wa marehemu wanaingia humu kwenye hii blog,na wanawaelewa ndugu mimi naomba muache mambo ya kuongea ovyo.

    wewe imagine unauchungu wa kufiwa halafu watu washenzi ambao hawana adabu wanaandika mavi mavi yao kwenye blog ya michuzi??jamani hapo mnawapa uchungu mara million wanadeal na matatizo tofauti sasa hivi waacheni please jamani sio vizuri.leo kwao kesho kwangu kesho kutwa kwako.utasikia vizuri kuona watu wanatoa kashfa na unamsiba??

    tuwe binadamu jamani na kama watu wengi wanavyosema hujalazimishwa kutoa mchango,kama hutaki acha hulazimishwi jamani ndugu ambao hamna feelings..

    rest in peace walter nad vonetha.

    ReplyDelete
  13. Kwa 5:07AM,
    Nashukuru kwa kuwaombea hao ambao they think they will never need any help from anyone and good for them.Huu msiba si wa marafiki,familia au kwa sababu one of the family member well known.Huu msiba ni kwa kila mmoja watu hapa ughaibuni na huku nyumbani. sioni umuhimu watu kutoa kashfa ambazo hazina maana. Mimi kusema ukweli huku kaka Walter na mwenzake Vonetta sijawahi kuwaona na wala kuwasikia. Lakini huu msiba umenishtua sana na umenigusa na wala siyo mimi tuu ni kwa kila mmoja wetu hapa ,na sioni kwa nini nitoa maneno ya kashfa au kwa sababu mtu kaomba rambirambi. Kama sina cha kutoa basi sitatoa na wala sitasema lolote na kukashifu but you know what I will mention them on my prayers, instead of writting garbage.

    Kwa kweli mungu awasamehe wale ambao hamfikirii maana iko siku itafika kwako je utalia na nani?Jamani fikiria hili tatizo limekukumba wewe je ungejisikia vipi kama mtu angesema kitu negative toward the situation. Yaani tunakuwa kama hatuna dini au hatuna moyo wa kusaidia?sisi hapa ni ndugu jamani baba mmoja mama moja tupo ughaibuni, biashara ya kutupiana maneno kwa kipindi hiki sidhani kama ni upendo kwa kweli. huna cha kusema please nakuomba stay away from the keyboard. Jamani umeombwa hujalazimishwa na kama huna cha kutoa funga mdomo na muombee marehemu na familia zake na wale waliotoa mungu azidi kuwabariki na kwuazidishia upendo waliokuwa nao na mungu akusaidie wewe ili kama huna leo basi ipo siku utaisaidia kulko kutoa maneno ambayo hayana maana.

    Kwa wale mliotoa jamani mungu wabariki na azidi kuwaongezea, na wale wenye midomo mirefu isiyokuwa na simile mungu awasamehe maana hamjui nlisemalo wala mliwzalo, naomba mungu awafungue mioyo yenu na kuwabadilisha ili huyo shetani aliyoko huko ndani ya moyo wako atoke na tukae kwa amani na heshima na upendo.
    Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi.Amen.

    ReplyDelete
  14. Kwanza msishangae maneno machafu yanayoandikwa hapa. Watu wako kwenye kompyuta zao na wanajificha nyuma ya jina 'Anonymous'. Kuna kitu nimegundua kwenye misiba, utajua watu walivyo kweli. Mimi nilishafiwa na mume na sitasahau maneno machafu niliyoambiwa usoni. Yaani mfiwa unachekwa na kukejeriwa hivi hivi na si mambo ya utani. Na wengi mtakubaliana na mimi kuwa ule usemi wa wazungu ni wa kweli kabisa nayo ni:
    "WHAT GOES AROUND, COMES AROUND!" wala sitatafsiri. Na kuna nyingine wanasema sana waMarekani weusi, "GOD DON'T LIKE UGLY!"

    Walter na Vonetha, Mungu awalaze mahali pema Mbinguni. AMEN Na kwa wazazi, ndugu na marafiki naomba Mungu awape nguvu katika kipindi hiki kigumu. Pia tuombe waliotenda hayo mauji wakamatwe.

    ReplyDelete
  15. Don,t u ppl have Tanzanian union or something in USA? If so, don't u have an account? If not, that's means, u Tanzanian in USA r all empty in ur heads, ur poor or u just want to collect our money 4 urself, ur all thieves! Coz i real don't get it.....20,000US$ is not even euro or pound, u all can't make it, u have to ask help abroad? I mean waoh!

    ReplyDelete
  16. Tanzanians will never have unions because they accuse each other of stealing money! In Minnesota they tried to have such a Union but everyone does their CCM talk and it is still floating in the air. Yes, if there were solid Tanzanian Unions money for transporting dead bodies should not be an issue.

    ReplyDelete
  17. 10:50 and 11:12 PM

    God is Good all the time. If we already made it to 10K wat y'all think? heh the glass is half full half empty...for yo info God's going fill it up and over flowwwwwww it! mwataa mtasema sana na roho zenu mbaya and I pray for you that siku zenu zikifika mungu asiharden the hears of "watanzania tulio ughaibuni" maana if he does....we all know wat that means.God will always rememember your words.

    pia naomba niwaambie kuwa miili ya wapendwa wetu itawasili dar tues.now if y'all dont like that screw yo azzzzez

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...