kabla ya kuelekea newala mai nanihii wangu na mie tulipia gerezani kufanya shopingi ya vifaa vya safari

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. hayo mantranka yamenikumbusha bodingi skuli....

    ReplyDelete
  2. Huyu michuzi anaelekea ni mshamba wa kwenda nje sasa sababu kila wakati newala newala, aibu mjomba hiyo. Hacha ka ushamba.

    ReplyDelete
  3. Sasa ushamba gani unaozungumzia? Kama huna cha kusema kaa kimya. Kwani kuna uajabu gani kwa mtu kutowahi kusafiri? Mtu mzima ovyoooo!

    ReplyDelete
  4. Huyo nanihii wako mbona ana vidimu vya kinoma noma michuzi?
    Ok huko unakoenda naye waambie wamchane basi halafu wampampu pampu.
    Si unajua madoctor wa huko ndio wenyewe kwa kurekebisha vidimu vya kichaga kama hivyo.....
    Ndio maana ile picha ya mwanzo ulikuwa amemkalisha!

    ReplyDelete
  5. Hivyo ni VICHUGUU vinahitaji pump!

    ReplyDelete
  6. Heshima ni kitu cha busara sana, na kama huna basi wewe ni MWEHU. Poleni sana.

    ReplyDelete
  7. Anko Misupu naomba nikuulidhe thwali; hivi ni kweli uko siriazi kwamba unahendaga Newala na masanduku ya CHUMA? Tafadhali wadau naomba mnithaidie kumpa daratha anko wetu huyu!!!!!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...