
hatimaye leo nimekutana na da'chemi hapa bukoba na kanipa zawadi ya dvd ya sinema ya tuseme ambayo yeye na wadau kibao wa kibongo wamecheza na imeongozwa na kaka josiah kibira aliyeko mwanza (minneapolis). nimeiangalia ni nzuri hasa ukizingatia imechezwa ughaibuni lakini lugha ni kimatumbi. hongera sana nyote mlioshiriki kwenye sinema hii
Dada Chemi naomba kuku uliza ninatafuta sana hiyo movie naomba unipe web site ili niagize ama kama nikiweza kupata contact nitashukuru sana ukinipatia, nina ishi Tennessee Jackson.
ReplyDeleteJimmy,
ReplyDeleteUnaweza kununua kupitia...
http://www.kibirafilms.com/
Au ni contact at chemiche3@yahoo.com
wewe Dada Mchaga Eeh
ReplyDeleteasante dada chem nitawasiliana nawe soon!Jimmy
ReplyDeleteMahakama Kisutu yambana Mahita
ReplyDelete2006-09-28 08:54:49
Na Hellen Mwango na Rosemary Mirondo
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imetoa siku 19 kwa aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Inspekta Jenerali (IGP) Omar Mahita, kuwasilisha utetezi wake dhidi ya madai ya kutomtunza mtoto wake.
Kesi hiyo ilifunguliwa na aliyekuwa mtumishi wake wa ndani, Bi. Rehema Shabani, mkazi wa Jijini Dar es Salaam, anayedai kuzaa na Bw. Mahita.
Kesi hiyo namba 2 ya mwaka huu, iliyofunguliwa Agosti 10, imesikilizwa jana kwa mara ya kwanza mbele ya Hakimu Mkuu Mkazi, Bi. Pellagia Khaday wa Mahakama hiyo.
Mdaiwa ambaye aliwakilishwa na wakili wake Bw. Charles Semingalawa, aliiomba mahakama kutoa tarehe ya kuwasilisha majibu ya utetezi wa madai hayo, kwa kuwa mdaiwa yuko safarini.
Hata hivyo, mahakama ilikubali ombi la upande wa mdaiwa na kutoa siku 19, ambapo Oktoba 16, mwaka huu, unatakiwa kuwakilisha utetezi huo.
Hali kadhalika, mahakama hiyo pia iliahirisha shauri hilo hadi Oktoba 17, mwaka huu, kesi hiyo itakapotajwa tena.
Katika madai ya msingi, inadaiwa kuwa Mahita alimtelekeza mtoto wake mwenye umri wa miaka minane bila kutoa matunzo.
Madai hayo, yalifunguliwa na mwanamke huyo kupitia Kituo cha Haki za Binadamu cha Jijini Dar es Salaam.
Katika hati ya madai mwanamke huyo alidai kuwa Juma Mahita ni mtoto halali wa mdaiwa.
Pia aliiomba mahakama hiyo itoe amri ya kumtaka mdaiwa kutoa Sh. 100,000 kila mwezi kwa ajili ya matunzo ya mtoto huyo.
Aidha, alidai apewe Sh. 100,000 kila mwezi za matunzo ya nyuma tangu mwaka 1997 hadi kesi itakapomalizika.
Bi. Rehema alidai mahakamani hapo kuwa uhusiano wake na mdaiwa ulianza Mei hadi Oktoba 1996 huko mkoani Kilimanjaro, wakati akiwa mtumishi wa ndani wa Bw. Mahita.
Mdai alidai kuwa, wakati huo Mahita alikuwa Kamanda wa Polisi wa mkoa huo(RPC).
Alidai kuwa katika kipindi hicho cha uhusiano wao, alipata ujauzito ambapo mdaiwa alimtaka kuondoka na kurudi kwao Kondoa mkoa wa Dodoma, ili mke wake asijue.
Hati hiyo pia ilieleza kuwa mdai alipewa Sh. 40,000 na kuahidiwa na mdaiwa kutumiwa fedha za matunzo kila mwezi.
Pia ilidai kuwa mdaiwa alijifungua mtoto huyo mwaka 1997 na alipewa jina la Juma.
Hati hiyo ilidai kuwa mdaiwa hakupinga ujauzito wala mtoto huyo, ila alimtaka mdai kufika nyumbani na ofisini kwake kudai fedha za matunzo.
Hata hivyo, Bi. Rehema alidai kuwa mdaiwa hakupeleka fedha za matunzo ya mtoto kama alivyoahidiwa na mwaka 2003, walijaribu kujadili naye katika ofisi za Ustawi wa Jamii lakini juhudi zake hazikufanikiwa.
Hati hiyo ya mashtaka iliendelea kudai kuwa, mdaiwa alimtuma askari wa kikosi cha kutuliza ghasia aliyemtaja kwa jina moja la Peter na mtumishi wa ndani aliyemtaja pia kwa jina moja la Hussen, ambao walimchukua mtoto huyo bila idhini yake na kumpeleka sehemu isiyofahamika.
Aidha, iliendelea kudaiwa kuwa mdai baada ya kufuatilia mtoto wake aliko alikamatwa na kupelekwa Kituo cha Polisi Kati, kwa madai kuwa ametenda kosa.
Ilidaiwa kuwa mwaka huu mdai alipeleka shauri hilo tena Ustawi wa Jamii, lakini mdaiwa hakuwa tayari kumaliza nje ya mahakama ndipo akaamua kulipeleka mahakamani.
Shauri hilo limeahirishwa hadi, Oktoba 17, mwaka huu itakapotajwa tena.
Wakati huo huo, baada ya shauri hilo kuahirishwa, Bi. Rehema aliomba msaada wa nauli kutoka kwa wasamaria wema.
Aliomba nauli hiyo ili iweze kumfikisha yeye na mwanaye anayesoma darasa la tatu katika Shule ya Msingi Mwongozo, aweze kuhudhuria masomo baada ya kutoka mahakamani.
Waandishi wa habari waliokuwepo mahakamani hapo, walilazimika kupitisha mchango wa dharura na kufanikiwa kupata Sh. 5,000 ambazo walimkabidhi mwanamke huyo.
Wakati huo huo, aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi mkoa wa Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Bw. Abdallah Zombe, leo anatarajiwa kufikishwa mahakamani dhidi ya kesi ya mauaji ya wafanyabiashara wanne.
Kesi hiyo imehamishiwa Mahakama Kuu ya Tanzania.
SOURCE: Nipashe
sasa wewe hapo juu, habari hiyo inahusiana vipi na sinema na dada yetu Che?
ReplyDeleteSwali kwa da Che: hivi ni kwanini filamu zetu zinafanana sana muundo na zile za Ki-Nigeria? kwa mfano ingawa sijaiona hiyo hapo juu, lakini cover design yake tu, inanionesha kama zile zile tulizozichoka za Nigeria. kwanini msitafute design bora zaidi yenye kuonesha maudhui ya filamu yenyewe badala ya kuweka potraits za sura za washiriki tu? Kibira anawafahamu madesigner wengi wazuri tu wa huku US hata kule nyumbani Bongo, kwanini msiwatumie kuwatengenezea cover nzuri?
Sura ya cover ndo inauza kilichopo ndani, sasa hamuoni kama hizo potraits tu ambazo hazina background ya matukio ya filamu, haivutii mnunuaji?
Ni ushauri tu
Anonymous wa 10:58am,
ReplyDeleteAsante kwa maoni yako. Huenda Cover imefanana na za waNigeria lakini filamu ni 'quality'. Nimeshatazama na waBongo wengi na wanasema 'quality' ni bora kuliko za waNigeria zinazotengenezwa chapuchapu. Naamini ukiona sinema ya Tusamehe utakuabliana na mimi. Tusamehe ilionyeshwa Pan African Film Festival, Los Angeles, California na ilipendwa sana. Ilionyeshwa Minneapolis, Minnesota na sinema ilijaa, watazamaji wengi wazungu.
Bwana Kibira anajitahidi sana na nashukuru kuwa ameweza kutengeneza sinema mbili za maana na zenye fundisho kwa waBongo na waafrika kwa ujumla. Sinema yake nyingine inaitwa Bongoland. Kwa habari zaidi nenda kwenye website http://www.kibirafilms.com
Pia ana project nyingine, mtasikia habari zake hivi karibuni.
Kuna mapungufu ya kifikra kutoka kwa anayejiita Chemi hapo juu.Kujaa kwa wazungu si kigezo tosha cha kusema kwamba hiyo filamu ni bora.Inawezekana walijaa kwa ajili ya kuishangaa tu na si vinginevyo.Jamani tubadilike,tuacjane na mambo ya kutaliwa kimawazo na hao wakoloni.Ebbboo.
ReplyDeleteWewe Mtu Pori hujui kuwa wazungu hawatazami sinema za weusi marekani. Kama wazungu walijaa basi ni dalili kuwa sinema ni nzuri. Acha wivu zako au uendelee kukaa pori. Unaweza kumtoa mtu porini lakini huwezi kutoa pori ndani mwake.
ReplyDeleteAcheni kuwa-amini wazungu jamani kwa kila kitu.Inamaana kuingia tu kwa wazungu ndo ubora wa kitu?.Naungana na mtu pori kwa kauli yake.
ReplyDeleteUna mke wewe Michuzi, naona umeshapunguza uzito tayari kwani huyo Bwengo tu.
ReplyDeleteJamaa unawaza ngono kweli.Huu ni wakati wa kazi na si kuwazia mambo ya ngono.
ReplyDeleteSamahani Chemi- nakuuliza umeshaolewa?Naomba nijibu na nielewe maana niko single na nahitaji kuoa kwasasa.
ReplyDeletembado
ReplyDeleteNimeangalia sinema ya Tusamehe na ni nzuri sana. Naamini mkitazama na nyie mtufarahi pia, hasa kuona wanaoacti ni wenzetu na wanatumia kiswahili. Na kama alivyosema DaChemi hii sinema ni quality. Hakuna kuona mawire zakamera na vitu vingine visivyostahili kwenye picha. Na wanajua kuacti. Safi sana. Endelea na kazi nzuri DaChemi na Kaka Kibira.
ReplyDeleteChemi che Mponda si ndiyo dada Chiku wa YA (Young African) huyu au nimejichanganya?....
ReplyDeleteAnyways big ups chemi A.K.A Chiku.
Nyie msimchanganye huyo Dada,Yeye alikuwa mwandishi mwandamizi hiko Daily News Tanzania,kwa maana hiyo hapo yupo na Workmate wake Michuzi.Mie namkumbuka pamoja ni mkubwa mno kwangu,nilikutana nae Warsaw,wakati mie nikiwa Berlin huko TBR,nafikiri Da'chemi umenipata.Hongera mwanakwetu!
ReplyDeleteHaya majibu ya ooh je yule Chiku wa Yanga ama kumuona huko Berlin yananisaidia kidogo sana, mimi swali langu la msingi ni lile la mwanzo je ameolewa? niko serious nataka kujua hili na baadaye nitasema nataka nini hasa.SAWA WANDUGU.(Che-Kaombe-Ufilipino)
ReplyDeleteTo Anonymous wa 7:11PM, jibu ni kuwa ndiyo nimeolewa.
ReplyDeleteTo Mwanakwetu Anonynous wa 5:49, nakukumbuka enzi zile wewe uko Form One sisi Form Six. Ulionekana mdogo kweli halafu ghafla huyo umekuwa Baba. Eh bwana hatui wadogo forever. Unakumbuka siku ile mlikuja kutusaidia kazi halafu tuliwapa mapera na ndizi?
Karibuni kwenye blogu yangu:
http://swahilitime.blogspot.com
na
http://chemiche.blogspot.com
Samahani dada chemi hiyo ilikuwa mwaka gani? i mean form 6 yako.
ReplyDeleteEbwana Anonymous wa 10:25pm hiyo ilikuwa 1982/83 naona nimsaidie Dadangu Chemi.
ReplyDeleteNashukuru kwa jibu Chemi. Sitosema mengi- baasi! Che-Kaombwe-Ufilipino.
ReplyDeleteDa Chemi ulisomea wapi primary, A-level na O-level? Samahani kwa uchunguzi.
ReplyDeleteuyu Chemi anapigwa miti kinoma haafu kiuno kigumuuuuuu
ReplyDeletenoma 2pu
eti kwenye blog yake anadai ana matako makubwa. huna matako makubwa mama, wewe ni mnene. ukitaka kujua kama una matako makubwa konda sana halafu uone.
ReplyDeleteLMAO! Huyo anonymous wa 9:29 lazima ni mwanamke. Ni mwanamke tu ndiye anaweza kuwa na uchungu na matako ya mwanamke mwenzake.
ReplyDeleteAnony wa juu yangu,
ReplyDeleteMimi ni njemba moja ya kizaramu bwana nimeminya huku ugiriki, sio jike, am sorry, kwanza ninafira tu samahani natomba mke wangu tu!
Angalieni tu alivyosimama hapo matako yako wapi?
apo kweli humeongea
ReplyDeletehana matako uyu m2, yy ana mtindi 2 na nyuma kapigwa pasi hana matako ni mnene 2 ila mwambiheni apunguze kugawa
Wewe Anonymous wa 11:06PM unaringa siyo. Huyo mke wako nitamtomba na wewe nitakufira tena bila mate na utaonalaha. Kumfira dume mwenzako raha kweli maana mkundu unabana. Unajidai fundi wa kufira hujakutana na mimi na mimi ni uboo kama mpini. Utanikoma. Nitakukuta wapi I make good on my promise.
ReplyDeletesasa vp tena. matusi yametokea wapi? kama hana matako au anayo nyie kinawauma nini? kama mume wake amempenda alivyo basi mumuache jamani na sio kuanza kumchafulia jina mama wa watu maana huyu anaonekana ni mtu mzima pmj na kwamba sijui umri wake, heshima kitu cha muhimu jmn hata kama mtu humjui ni vizuri kumuheshimu tunapokua kwenye sehemu (blog) kama hii. pole sana dada chem. halafu mimi pia ni mpenzi wa blog yako, pmj na kwamba sijaitembelea hivi karibuni maana huku michuzi anatupagawisha hadi tunasahau kwenda kwenye blogs za watanzania wengine.Haaaaaaaaaaaaaaaa Haaaaaaaaaaaa teeeeeeeeeeeeeeeee
ReplyDeleteKWAKO DA CHEMI,
ReplyDeleteSASA SISI WA BONGO AMBAO HATUNA CREDIT CARD TUTANUNUAJE HIYO SINEMA ONLINE? AU MMESHARETA DAR HIZO COPY? je zinapatikana wapi?. KAMA HAMJALETA BASI MRUHUSU MICHUZI ATUPE TUFYATUE KOPI MAANA TUNA HAMU NAYO SANA HIYO KAZI.
Peace.
Ama kweli ukitoka kwenye blogu ya Michuzi utegemee matusi. Sasa nimekuwa na Complex. Naona kama kila mtu anatazama matako yangu kujua kama ni makubwa au fleti!
ReplyDeleteKwa Anonymous wa 2:34PM, Bwana Kibira anafanya mipango kusudi mweze kununua DVD za TUSAMEHE na BONGOLAND Tanzania. Mcheki site yake http://www.kibirafilms.com