jina lake kamili ni athumani fodi, ila anajulikana zaidi kama wabogojo, mmoja wa wachekeshaji wakubwa bongo na pia ni mwanasarakasi anayeweza kupenya hata kwenye tundu la sindano. mlioko ughaibuni mtaanza kumuona novemba ambako yeye na kundi lake wana tenda ya miaka mitatu kufanya maonesho. makao yao yatakuwa belini, ujeremani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. jamaa namuaminia kwa kujikunja na kujikunjua.Big up

    ReplyDelete
  2. miwani imekupendezaaaaa...hivi umenunua duka gani?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...