
jina lake kamili ni athumani fodi, ila anajulikana zaidi kama wabogojo, mmoja wa wachekeshaji wakubwa bongo na pia ni mwanasarakasi anayeweza kupenya hata kwenye tundu la sindano. mlioko ughaibuni mtaanza kumuona novemba ambako yeye na kundi lake wana tenda ya miaka mitatu kufanya maonesho. makao yao yatakuwa belini, ujeremani
jamaa namuaminia kwa kujikunja na kujikunjua.Big up
ReplyDeletemiwani imekupendezaaaaa...hivi umenunua duka gani?
ReplyDelete