Dear Friends and Fellow Tanzanians.
Tanzania Association of Michigan would like to extend our appreciation for your support on the tragic event that claimed the lives of our beloved brother and sister – the late Walter Mazula and Vonetha Nkya. Your financial contributions, thoughts, prayers, compassion and participation made the impossible, feasible. We honor, respect and love, it was possible for us to say good-bye and transport our beloved home where they will rest in peace. Funeral Home costs, transportation, airfare, luncheon hall, food, flowers, beverages and condolences donations to families of the deceased, were all covered by your generous contributions.
Tanzanian community of Michigan (TAMI) would like to keep in touch and support you as well. Let us communicate and stick together in both good and bad times. Walter and Vonetha always emphasized the importance of co-operation. With that spirit in mind, let us be motivated to continue working together.
Once again thank you and God bless you,
On behalf of all Tanzanians in Michigan,
TAMI President Mr. AYUB
Tanzania Association of Michigan would like to extend our appreciation for your support on the tragic event that claimed the lives of our beloved brother and sister – the late Walter Mazula and Vonetha Nkya. Your financial contributions, thoughts, prayers, compassion and participation made the impossible, feasible. We honor, respect and love, it was possible for us to say good-bye and transport our beloved home where they will rest in peace. Funeral Home costs, transportation, airfare, luncheon hall, food, flowers, beverages and condolences donations to families of the deceased, were all covered by your generous contributions.
Tanzanian community of Michigan (TAMI) would like to keep in touch and support you as well. Let us communicate and stick together in both good and bad times. Walter and Vonetha always emphasized the importance of co-operation. With that spirit in mind, let us be motivated to continue working together.
Once again thank you and God bless you,
On behalf of all Tanzanians in Michigan,
TAMI President Mr. AYUB
haya sasa mtuambie nini kilichowasibu hawa ndugu marehemu, na wewe pia misupu ulikuwa karibu nao sana wakati wa msiba hivyo sina shaka utakuwa unajua nini chanzo cha kifo chao, tudokezee basi uncle !!
ReplyDeleteMr. AYUB,
ReplyDeletecan you please update us on what police are doing to bring the killer to justice??
Ndugu Chairman,
ReplyDeleteIngekuwa vizuri kuwaeleza watanzania wote Michigan na kwingineko kuhusu kiasi ambacho kiliweza kukusanywa. Sio swala la kutoaminiana bali ni accountability.
Wewe anon wa 12:57 with all due respect, michango imetolewa imesaidia kufanikisha misiba na kila kitu kimeenda salama tunamshukuru Mungu. Sasa haya mengine ni ya nini tena? I'm sure those who were organizing this did everything by the book. Sio kosa kuuliza, ila let's just leave it at that.
ReplyDeleteanon 1:40
ReplyDeleteDoing everything by the book should involve putting out the final numbers. Sio kosa watu kujua especialy waliosaidia..itawapa moyo kusaidia tena for the next traggic event.
Jamani watanzania mbona mnakuwa na roho ya namna hiyo?Sasa ukishajua final numbers itakusaidia nini?Shukuru Mungu mambo yalienda salama na omba Mungu jambo hili lisitokee kwa mtanzania mwingine.Mijitu mingine, bwana sijui mlizaliwa juu ya mawe?!!!Toa maoni yanayoleta maendeleo bwana.Alaaah!!!!!
ReplyDeleteWewe kama huta kujua numbers zilikuwaje haina maana wanotaka basi wamezaliwa kwenye mawe.lazima ukubali akili zinatofautiana sio vibaya watu wakajua pesa zili kusanywawa kiasi gani na utaratibu ulikuwa vipi na ulimalizikaje kipesa na mipango.We know mission accomplish,But we need check and Balance.amasivyo tutaishia kuletewa mapantoni mabovu na Balozi za vyumba viwili pesa zinapokwenda hazijulikani.
ReplyDeleteTUNASHUKURU,
ReplyDeleteTUNAOMBA TUJUE WATU WALIOTUSAIDIA KATIKA WAKATI MGUMU,TUKIJUA NDUGU WALIOTUSAIDIA INGEKUWA NZURI,HATA BILA KUJUA AMOUNT WALIYOCONTRIBUTE,TUNGEPENDA SANA TUJUE HAO NDUGU ZETU HUKO USA WALIOJITOA MUHANGA KWA HILO,
THANKS MR AYOUB.
Hii ndio kitu ambacho sikielewagi hata mara moja. Kwa watu kuhoji juu ya michango bila ya kujua hata kama ulichanga ama vipi, issue ilikuwa ya kujitolea, kama wanavyofanya watu kwenye majanga makubwa kama ya 911, Katrina,Tsunami etc, mbona huwa sioni mamilionea wanaotoa mamilioni wakihoji hivi vitu, Jamani waTZ wenzangu mi nadhani kama ulichanga kwa kusaidia shughuli kama hii kwa moyo mweupe, issue ya imetumika vipi huwezi kuwa nayo coz tunawaamini watu walioshughulika, kwa watu wanaohoji ni watu wa majungu ambao hata kutoa usikute hawakutoa lakini wanataka ligi tu. Kwa kifupi ni kwamba hela ilitumika kupeleka miili nyumbani, kulisha watu waliokuja kutoa pole na iliyo baki yooooteeeee ilipelekwa kwa familia TZ, satisfied.
ReplyDeletepEACE
Kwa anon wa 8.44 watu waliojitolea wako in thousands haiwezekani kuorodhesha watu wote hao, na mimi sielewi wats the point ya kutaka majina anyway, au unandugu na jamaa walitoa unataka watajwe, kwa ufupi wote wamejumuishwa kwenye hiyo shukhurani iliyotolewa mzee so feel kama vile umeliona jina lao ahhhhh
ReplyDeleteanon 12.29 ahsante kwa majibu nashukuru kama ni wengi wamechanga ila najua kuna list kwa vile lazima kila mtu alikuwa anaandikwa jina akichanga,nahakika ingekuwa vizuri kushukuru huku ukiona majina ,kwa hiyo bado nahitaji kuona majina hapa globuni,kama mkererkrtwa wa globuni.ahsante.
ReplyDeletekweli kabisa tunaomba majina. But before that MUNGU AWABARIKI SANA KWA MOYO WENU WA KUTOA NA MUNGU AWAZIDISHIE.
ReplyDeleteWe anony wa 4:26 unachtaka hasa ni nini? Kwanza huoni aibu kuwa unashupalia hili swala peke yako? Fikiria mara mbili kabla hujaanza kuleta maombi yako ya kiendawazimu.Wewe unadhani kufanikisha shughuli hiyo ni michango tu? Watu (maelfu kwa maelfu)walioshiriki huku Bongo nao wote unataka majina yao yote humu kwenye blog?
ReplyDeleteMwisho kama wewe unataka kweli majina ya waliotoa hebu tuwekee jina lako hapa na kiasi ulichotoa ili watu kweli wajua una sababu ya kudai accountability. Siyo mtu hata mchango wenyewe hukutoa umeshupalia kudai majina wakati waliotoa wamekaa kimya.
jamanai mood zenu kwa kubishana na huyo annony 4.26 anamentalinty ya kimasikini kwa maana nyingine ni mlala hoi.mtu alitetoka kwenye familia inayojiheshimu,inajiweza milo mitatu kwa siku ikiwa accompaned na snaks hawezi kuwaza eti watu wangapi wamechanga! kiasi gani kimepatikana! because yuko bussy na menu zake! so kwa kifupi achaneni naye mwehu huyo...unafikiri Mr Mfinanga ana dhiki cha kuchukua pesa za msiba!~ shame on you ndiyo nyie ndugu zenu wakifa mnataka kurithi mpaka chupi zao.msikini wa hedi wee.
ReplyDeleteKama kweli akili ni nywele kwa vyovyote ndugu yangu anayeulizia majina lazima uwe bold, na hivi ni nani kakuambia kwamba hii blog ni sehemu ya kuelezea shughuli za msiba huu. Ndugu Ayoub ni muislamu muaminifu mwenye moyo wa kujitolea sana huku Michigan tunamshukuru sana, nadhani ukimpa address yako kama unayo na sio homeless flani atakutumia majina kama unasisitiza sana then njoo uyatype huku lakini kwa sasa huwezi kumwambia mtu akuandikie majina ya watu kwa maelfu kwa ajili ya upungufu wako wa akili.
ReplyDeleteMzee Ayoub mi natoa shukhurani zangu kama mmoja ya watu wanaojua unachofanya kama mshirika mwenzetu wa kitanzania huku MI suichoke na hawa wapungufu wa akili wanaopenda kuhoji kila kitu na swahumu njema mzee
pEACE
Hivi kweli ni misiba yote tunatakujua ni kiasi gani zimepatikana? Au zilivyotumika! Sasa nimeamini kweli humu kuna watu wana roho za umasikini!! Tumeshuhudia kamati hii ikiwa na ndugu pia za marehemu kama si kosei ni Belinda Nkya na Brian Mazula. Sasa badala ya kukaa na kuwafariji hawa wafiwa tunaanza kutaka kujua kiasi gani kimepatikana!!!
ReplyDeleteNi hulka mbaya sana tuliyojijengea wabongo!! Hata kama kitu hakikuhusu unataka uje kiasi gani (cha juu) ili uanza kulalama kijinga KABISA. mifano halisi ni simba ... yanga .. TFF or FAT whatever....
huyu anayetaka kujua kiasi cha mchango ana agenda gani? ni ushamba na ujinga...jitambue hivyo.Uliona wapi michango ya misiba ikiwa published kwenye internet au magazeti? hata wakati wa Msiba wa Baba wa Taifa Nyerere , Serikali ilikataza taasisi na watu kutangazia uuma michango yao kwani ni kinyume na MILA na utu
ReplyDelete...hivyo napiga marufuku mtu kuulizia michango ya msiba wowote !
mliomaliza kusoma marekani mrudi tujenge nchi,bongo patamu panakubalika wakina J z kila siku wapo huku
kuhusu Peter Rupia sijui kwanini watu wanamchukia sana, yeye sasa ana mpenzi wake Irene.Tuwaache WAKOLEZE Penzi
Wakati kiasi ambacho kinahitajika hakijafikiwa, ilikuwa ni rahisi sana kuwaeleza wote kiasi kilichopatikana so far na kiasi ambacho bado kinahitajika kutimisha hio shughuli. Wote tulipata email na tukajaribu kujipinda zaidi kusaidia. Sema kwa mwafrika kiasi kikishapatikana na saa zingine kuzidi hata kilichoombwa inakuwa sasa kazi kusema na ukiulizwa unakuja juu kana kwamba unashukiwa. Lakini wakati bado unatafuta hio target amount hizo number ziko tayari kutolewa anytime. Sisi akili yetu ya kiumaskini kila saa swali kama hilo likiulizwa tunakuwa defensive. Hamna mtu anayeuliza pesa imetumika vipi, anon wa 12:57 alikuwa anaulizia ni kiasi gani kilikuwa raised.
ReplyDeleteMentality ya mswahili kweli haiwezi kutusogeza mbele. Tatizo likitutokea tunawafuata ndugu zetu tunawaeleza tulipo na tunachohitaji. Wakati michango inaingia bado tunatoa report tulipo na kiasi ambacho bado kimebaki. Wote tulipata hizo emails an zikawatia moyo wengineo kujipinda zaidi na kujaribu. Sasa tukifanikiwa kupata kile kiasi au tukapata zaidi ya ghafla tunakuwa defensive tukiulizwa final status ya pesa iliyopatikana. Hivi wakati bado tuko short ya target amount mbona tulikuwa warahisi sana kusema kiasi kilichokuwepo.
ReplyDeleteAnon 12:57 kauliza a very legit question. Haja question integrity ya Chairman wa Michigan. Kweli tuna kazi maana mpaka leo hii requesting accountability bado inachukuliwa kama shutuma.
Mentality ya mswahili kweli haiwezi kutusogeza mbele. Tatizo likitutokea tunawafuata ndugu zetu tunawaeleza tulipo na tunachohitaji. Wakati michango inaingia bado tunatoa report tulipo na kiasi ambacho bado kimebaki. Wote tulipata hizo emails an zikawatia moyo wengineo kujipinda zaidi na kujaribu. Sasa tukifanikiwa kupata kile kiasi au tukapata zaidi ya ghafla tunakuwa defensive tukiulizwa final status ya pesa iliyopatikana. Hivi wakati bado tuko short ya target amount mbona tulikuwa warahisi sana kusema kiasi kilichokuwepo.
ReplyDeleteAnon 12:57 kauliza a very legit question. Haja question integrity ya Chairman wa Michigan. Kweli tuna kazi maana mpaka leo hii requesting accountability bado inachukuliwa kama shutuma.
Wewe anony wa 12:28:33 ndiye huyohuyo huko juu sema unajaribu kujishaua tu. Tumeshakueleza hayo madai yako niyakiwendawazimu. Sasa unakuja na utetezi ati hamna mtu anayeuliza pesa imetumika vipi bali kiasi gani kilikuwa raised. Umesahau maoni yako huko juu ulipotaka majina yawaliochanga na kiasi walichotoa viandikwe humu kwenye blog? Hilo ndiyo lilikuwa ombi lako la kipuuzi na hata hilo la mwisho ni la kipuuzi vile.
ReplyDeleteIbn batuta,
ReplyDeleteHivi hatuwezi kuwa na dialogue ambayo majibu sio uwendawazimu na upuuzi. Nimeuliza swali hapo juu. Jaribu basi kujibu. Ni kuelemishana huko. Mimi ningependa kujua kinachobadilika wakati tunatafuta msaada na tulipopata msaada. Kama tuko tayari kutoa kiwango tulichonacho wakati wa kutafuta mbona kazi kutoa kiwango tulichopata tukishafanikiwa? Na hii sio specific kwa situation hii, maana tunajua situation kama hizi zinatokea kila siku na observation. Kama jibu lako bado ni "mi mwendawazimu basi hamna haja kujibu". Lakini kama ungependa kunielimisha tofauti iliyopo ni ipi katika nyakati zote mbili nitashukuru.
Wewe anony unajua nilikuwa sijaipitia hii link siku nyingi kumbe bado ulikuwawepo. Umejaribu kuongea kama muungwana sasa lakini bado madai yako ni ya kustaajbisha. Utatakaje accountability kwa kitu cha hiari? Hili lilikuwa tatizo kubwa walioomba na waliotoa ni kwa sababu walijua wanahitaji kwa ajili ya kutimiza dharura iliyokuwepo. Kama mtu alitoa ni kwa sababu alijua hicho ndio kitu sahihi kufanya. Mambo ya kiasi ni ya nini tena? na kuhusu list yawaliotoa inasaidia nini? Uliambiwa roughly inahitajika $20,000 kusafirisha, walimudu kusafirisha. Rambirambi iliyotolewa ulisikia sasa fanya hesabu zako. Case closed
ReplyDelete