Home
Unlabelled
bongo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Waaoh! what a jumper it is really nice, is it tz designing or jay came with it....
ReplyDeleteN if its tz designing plese designers learn from there we need things like this....that is serious man ....
Kwa kwa taarifa yako na wadau wengine, nilikuwa Dar wiki chache zilizopita baada ya miaka mingi, hizi Fulana na Jezi zenye nembo na bendera ya Tanzania ziko nyingi sana, na wamachinga wanaziuza sana. Hata nilipokuwa Arusha, niliingia kwenye duka moja kubwa sana linauza hizo nguo na mafulana wazungu walikuwa wengi wananunua. Sasa plate namba za magari ya Tanzania sio za kuchora kama zamani. Ni kama plati za Marekani, Canada na UK. Namba sio TZ tena. Ni manamba tofauti tofauti na helufi na pembeni kuna sticker yenye bendera ya Tanzania.Jamani mambo yamebadilika sana bongo. ATMs mashine ziko karibu kila benki sasa.Watu wanaendesha magari kama ya huku tu.Msije mkajidanganya kwenda Bongo na vidola $$$ kidogo mtaadhirika.Tanzania sio kama North Korea. Iko open.Watu wenye fwedha wame invest sana.Tatizo ni kwamba nchi ni masikini na Serikali haina uwezo wa kujenga mabarabara mijini.Kama Dar foleni ya magari ni kubwa sana kiasi kwamba kuna magari mengine yanapita kwenye Jangwani kwenye viwanja vya mpira sio barabara ya Morogoro. Michuzi anavyoongea kila mara kwamba Tanzania inashindana na Kenya ni kweli.
ReplyDeletetazama hilo panga boi hapo juu kama linataka kuang'uka hivi
ReplyDeleteMichuzi unaiba picha zangu
ReplyDeletemichuzi unaiba picha zangu
ReplyDeletemichuzi unaiba picha zangu
ReplyDeletetumemgundua huyu wa "Picha zetu" si mzawa mwenzetu wala si mzalendo mwenzetu, ni mkoloni alyeamua kuja bongo kuwadhalilisha dada zetu. Hongera sana kaka, na pia poleni dada zetu wenye tabia ya kutetemekea rangi za kizeruzeru, matatizo yake ndo hayo picha zenu tunawaona mkiwa wazi kabisa
ReplyDeleteFulana ya Jay-z BONGO
ReplyDeleteJay-z TANZANIA HOODY SWEATSHIRT
Available at the Jamhuri shop on-line click here>Jamhuri Wear
Jamhuri wear - your prices are ridiculous. That sweat shirt should be no more than $30 tops.
ReplyDeleteHuyu wa Jamhuri wear atakuwa mhindi tu huyu.Sweta kwa dola 125??!!Kisa!Acheni uhuni
ReplyDeleteHapa ndio alikuwa anabana pua kistile, TOO MUCH VIKWAPA MEEEEN!
ReplyDelete