mambo ya jei ziii

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. HIVI NYINYI MNAJUA HIYO SIGN YA HOVA INAMAANA GANI? HUYO JAY Z ANAWASIINISHA MIKATABA NA SHETANI. kwaufupi jay ni devil worshiper, kama uamini sikiliza hiyo album itakayokuja kwa jina la LET KINGDOM COME. in his black album alikuwa anampa big up Lucifer and saying statememnt like murder murder Jesus......all am saying what out what u celebrate. Bongo mapepo wengi sana.

    ReplyDelete
  2. Anony...hapo juu.I wanna letchu know that hiyo sign it doesnt mean whatchu said up there eti ni anwasainisha mikataba na shetani...nah...Hiyo sign maana yake ni sign ya DIAMOND.Thanks...LOL!!

    ReplyDelete
  3. Michuzi hivi kale katabia ka kuchomoleana pesa wakati wa mlundikano wa watu kalikwisha? maana nakumbuka pale mkwakwani stadium nilipoteza shs.10,000 na ilikuwa ni 1987 simba na coastal Union Tanga, it was a lot of money to me back in the days na ilikuwa ni mrundikano kama huu huu but hey it has been a while labda kamchezo haka Said Mwema amekadhibiti sasa...!

    ReplyDelete
  4. Jamani VIKAPA sasa kunuka hapo ndiyo tatizo,wengine wana uso utafikiri mwanachechele,kama njemba hilo la kulia.

    ReplyDelete
  5. MICHUZI UNAKUMBUKA BACK IN THE DAYS KULIKUWA NA UGONJWA FULANI SIJUI UMETOWEKA SIKU HIZI ULIKUWA UNAITWA MFADHAIKO WA MWILI? NASHANGAA KUONA AKINA DADA WAMEKALIBIANA NA KINA KAKA KARIBU KARIBU SASA SIJUI NI CHANJO GANI IMETUMIKA MAANA THOSE DAYS TAYARI MTU ALIKWISHA PIGA BAO SIKU NYINGIII...HASA KAMA UTA KIKALIO KAMA CHA BEYONCE TAABU TUPU.KWELI TUMEONDOKA BONGO ZAMANI!!

    ReplyDelete
  6. I love Wabongo. Hapa wametumia akiba yao yote kwenda kujirusha halafu kesho yake wanaenda dukani kwa Mpemba. Mbaya Zaidi zaidi ya Robo tatu yao hapo hawana hata akiba benki. Jamani tujifunze kusave for rainy season.

    ReplyDelete
  7. Hongereni huko bongo kwa kutumbuizwa na mastaa wengi wa marekani kama Jay Z mie niko aka tisa hapa USA nacheza na box kama sina akili nzuri hawa jamaa mimi nawaona kwenye kideo tuu, Kwa wale ndugu zangu mnaonyimwa Visa msinune wa nini tulizaneni bongo pigeni madarasa ya jioni hapo Mlimani na IFM hata CBE maana huku ukiingia Class baada ya kazi ni kama umepigwa ngumi yaani shule inapanda kwa kasi ndo kama vile mwendo wa UPE
    Huu ndo ukweli wenyewe ukiona mtu kaenda Western Union kutuma fuba ujue katumwa sana na mzungu

    ReplyDelete
  8. Jay-z:
    NYANYUENI MIKONO YENU JUU WABONGO NIONE VIKWAPAAAAAAAA, VIKWAPPPPA YEEEEAH!

    wabongo:
    YOOOOOOOHH!

    ReplyDelete
  9. Nami nilitaka kusema hivyo hivyo Vikwapa. Huyo Jay Z atarudi US na kusema national smell ya TZ ni Vikwapa. Na Mfadhaiko jamani, lakini harufu ya bhangi ilipunguza manyege.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...