joho na kofia alokuwa akivaa mwalimu wakati wa mahafali chuo kikuu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hivi ni kwanini kandarasi za kujenga mambo muhimu ya kitaifa hawapewi watu wenye uzoefu na uwezo wa kufanya hivyo? Kumbukumbu za baba wa taifa ni muhimu mno kuachiwa kampuni shenzi za ujenzi na makapenta wa hovyo kuzikamilisha! sitashangaa kama hilo joho limejaa vumbi! tafadhali tutazame jinsi wenzetu wanavyohifadhi historia yao vizuri katika makumbusho zao nje ya nchi!
    Picha hii imenikumbusha tena picha nyingine niliyoiona katika blogu hii, picha ya magari aliyowahi kutumia mwalimu jinsi yalivyowekwa katika banda pale makumbusho! hivi mpaka siku moja yawekwe juu ya mawe ndio mtafurahi?

    Tafadhali zitumike pesa za kutosha kuhifadhi historia hii! watanzania walio wengi hawatachukia iwapo pesa zaidi itatumika kutunza vyema historia hii kwa sababu ikiharibika hatutoipata tena!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...