Home
Unlabelled
makumbusho
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kwa kweli ni jambo la busara kumuenzi Mwl.kwa kuweka na kuliboresha jumba la makumbusho ya mwalimu.Kwa aliyefika huwa kiingilio ni shilingi ngapi?
ReplyDeletekatika vitu ambavyo bado inabidi tuvifanyie kazi ni historia ya nchi yetu.kuna mapungufu makubwa kwenye hili mpaka kujua ukweli ni vigumu.kwa mfano kila mahali pameandikwa kuwa baba wa taifa mwl. nyerere alikuwa ni mtanganyika wa kwanza kusoma elimu ya juu uingereza(1949 -1952),wakati chif marealle na Freddy mchauru walisoma trinity collage of cambridge(1946 -1948).kielelezo ni gazeti la mtanzania jumapili tarehe 2 july 2006,mahojiano na chifu mareale.angalia kiungu hiki pia http://search.eb.com/blackhistory/article-9056571 ......challange kwa wanahistoria.
ReplyDeleteZemarcopollo,
ReplyDeleteTatizo la waandishi wetu wakibongo ukiondoa Michuzi(labda kwa sababu uandishi wake ni wa picha) ni wapenda sifa sana. Wanandika kitu bila hata utafiti mradi wasifie wanachotaka. Ndio maana leo utaona wanakimbilia kumwita kila mwanaulaji (mwanasiasa) Dokta bila hata kufanya utafiti wa kina kaupata wapi huo U-dokta. Usishangae basi hawajui kuna watu wengine walishasoma nje tayari lakini wao hawajui.